×

Rais Samia Apangua Mawaziri, Makatibu Wakuu Wizara ya Michezo na Wizara ya Maliasili na Utalii

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya mawaziri katika Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na Wizara ya Maliasili...

READ MORE

GGML Yagawa Tani 23 Mbegu za Alizeti kwa Wakulima Geita

  KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited. (GGML) imesambaza tani 23 za alizeti katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Halmashauri...

READ MORE

Chapride Yazinduliwa Rasmi Valentine’s Day, Yatoa Ofa ya Usafiri Kwa Wapendanao

  Kampuni ya Usafirishaji wa Abiria Mtandaoni ya Chapride, leo imezinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam, zoezi ambalo limekwenda sambamba...

READ MORE

Kisa TP Mazembe…. Nabi Awachomoa Mastaa Kikosini Yanga

YANGA KUELEKEA mchezo wa pili wa Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine...

READ MORE

Video: ”Mama Hana Shida, Vyuma Vimekaza, CCM Niliachana Nayo Nilipojiunga Chuo Kikuu” – Lissu

GLOBAL TV imefanya mahojiano maalum na Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ambaye amezungumza mengi juu ya muelekeo wa hali...

READ MORE

Robertinho Apata Dawa Ya Raja Casablanca, Ampa Maagizo Maalum Baleke

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazil, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo, kwa kuwaambia kuwa hataingia kivingine kimbinu...

READ MORE

Siku ya Redio Duniani Meridianbet Yapiga Hodi ITV & Radio One

Tarehe 13 siku ya Redio duniani kampuni ya michezo ya ubashiri Tanzania Meridianbet imetoa vifaa vya kutendea kazi kwa kituo...

READ MORE

TEMESA Yataka Nauli za Vivuko Zipandishwe Hazienani na bei ya Soko

Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) umesema changamoto kubwa zinazoikabili kwa sasa ni nauli za vivuko ambazo zimepitwa na...

READ MORE

Mshindi Wa Tzs 20m Meridianbet Aeleza Mbinu Alizotumia

Mfalme mpya wa kubeti kutoka Meridianbet amepatikana. Mfalme huyo anayetokea mkoani Mbeya alijipatia kitita cha Milioni Ishirini na laki moja,...

READ MORE

Rais Samia Atangaza Kununua Kila Bao Yatakayofungwa na Simba na Yanga Kimataifa

Rais Samia Suluhu ametangaza kununua kwa Sh5 milioni kila bao litakalofungwa na Simba na Yanga katika michezo yao ya kimataifa...

READ MORE

Tetemeko La Ardhi Uturuki: Mtoto Wa Miaka Mitano Aokolewa Baada Ya Saa 105 Kwenye Vifusi Vya Tetemeko

Mtoto mwenye umri wa miaka 5 ameokolewa kutoka vifusi vya tetemeko la ardhi la Uturki saa 105 baada ya mkasa...

READ MORE

Video: Mchungaji Hananja – ”Kuzaa Sio Kigezo Cha Ndoa, Nilioa Nikiwa Na Miaka 40” | Hard Talk

KWENYE HARD TALK ya Mtumishi wa Mungu na Mwandishi wa vitabu nchini Lilian Mwasha amezungumza na Mchungaji Richard Hananja ambaye...

READ MORE

Wanafunzi Watatu Wauawa Kwa Kupigwa Risasi, Wengine Watano Wajeruhiwa

  Watu watatu wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa baada ya mwanaume mwenye silaha kuvamia Chuo Kikuu cha Michigan, Marekani...

READ MORE

Equatorial Guinea Yathibitisha Kuzuka kwa Virusi vya Marburg

Mamlaka nchini Equatorial Guinea siku ya Jumatatu ilisema nchi hiyo iliripoti mlipuko wake wa kwanza wa virusi vya Marburg, ugonjwa...

READ MORE

Ligi Ya Mabingwa Barani Ulaya Inaendelea Leo Na Kesho Pata Odds Bomba Kutoka Meridianbet

Ligi ya Mabingwa barani Ulaya (UEFA Champions League) inaendelea tena leo na kesho, ni muda muafaka wa kuzijua ni timu...

READ MORE

Ndugu wa Mume Walinikejeli Sana Kisa Sina Mtoto, Sasa Nimewafunga Midomo!

  Ukweli ni kwamba tamaduni za Kiafrika kwa kiasi fulani zinawakandamiza sana wanawake pale ambapo wanaolewa na kukaa muda mrefu...

READ MORE

King Perryy Aachia EP Yake Akiwashirikisha Tekno, Victony Na 1Da Banton

  MSANII wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Nigeria, King Perry ameachia EP yake aliyoipa jina la Continental Playlist...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Aanza Ziara Mkoani Songwe, Azindua Hospitali

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Februari 13, 2023 ameanza siara ya siku tatu mkoani Songwe ambapo anatarajiwa kukagua na...

READ MORE

Taharuki Kubwa Yazuka Ikidaiwa Watu 10 Wamefariki Dunia kwa Ajali ya Ndege

  Asubuhi ya leo, taharuki kubwa imeibuka kwenye mitandao ya kijamii, ikieleza kwamba watu 10 wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa...

READ MORE

Rihanna Atangaza Kupata Ujauzito wa Pili Wakati Akipiga Shoo ya Super Bowl

  Mwanadada Robyn Fenty ‘Rihanna’ ameweka wazi kuwa ana ujauzito wa mtoto wa pili na mpenzi wake ambaye pia ni...

READ MORE