×

Kongamano Kubwa la Vijana Kufanyika UDSM, Novemba 12, 2022

  Zaidi ya vijana 500, kesho Jumamosi wanatarajia kushiriki kwenye Semina ya siku moja iliyoandaliwa na FD360 ya tukio la...

READ MORE

Chelsea Yaifanyia Umafia Real Madrid na PSG Usajili wa Kinda wa Brazil

KLABU ya Chelsea ya nchini Uingereza imefanya umafia mkubwa dhidi ya vilabu vya Real Madrid na PSG kwenye usajili wa...

READ MORE

Kisa Bao la Aziz Ki… Kocha Yanga: Sasa Tunarudi Kuchukua Makombe Yetu

USHINDI wa bao 1-0 lililofungwa na Azizi Ki kwenye mchezo wa marudiano Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Club Africain...

READ MORE

Yanga: Akili Zetu Zinafikiria Ubingwa Tu Kwenye kila Mashindano Tunayoshiriki

UONGOZI wa Yanga SC, umeweka wazi kuwa, akili zao zinafikiria kupata mafanikio kwenye kila mashindano wanayoshiriki kwa kubeba ubingwa.  ...

READ MORE

Je, Unataka Kufanikiwa Kibiashara na Kuwa Tajiri? Tumia Mbinu Hizi Ambazo Zimenisaidia

  JINA langu ni Abeli kutokea Arusha nchini Tanzania, baada ya kufanya vibarua kwa miaka mingi kwenye viwanda vya Wahindi nilichoka...

READ MORE

Meridianbet Yawashika Mkono Hospitali Ya Tumbi Watoa Msaada wa Vifaa

Kampuni ya Meridianbet iliyoambatana na timu nzima ya masoko, akiwemo meneja masoko wa kampuni hiyo Ndugu Matina Nkurlu, pamoja na...

READ MORE

Marekani na Uhispania Kuipatia Ukraine Mifumo Mipya na ya Kisasa ya Ulinzi wa Anga

Marekani na Uhispania zimetangaza kwamba zitatuma mifumo na makombora yake. Mshauri wa kitaifa wa masuala ya usalama nchini Marekani Jake...

READ MORE

Mourinho Ampa Makavu Kocha wa Timu ya Taifa ya Uingereza Kuhusu Abraham

KOCHA wa klabu ya AS Roma ya nchini Italia Mreno Jose Mourinho ameibuka na kumpa makavu kocha mkuu wa Timu...

READ MORE

Live: Rais Samia Anazindua Mradi wa Maji Kigamboni-Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anazindua Mradi wa Maji Kigamboni ili kuweza kutatua changamoto ya...

READ MORE

Simba Kumalizia Hasira Zote Kwa Ihefu Kesho Kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar

BAADA ya sare ya bao 1-1 waliyoipata kwenye mchezo wao uliopita dhidi ya Singida Big Stars, Kocha wa Simba, Juma...

READ MORE

Mpole, Geita Gold Wavutana Baada ya Kutoonekana kwa Muda Kikosini

MFUNGAJI Bora wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita, George Mpole, ameibuka na kufunguka mengi makubwa yanayomuhusu mara baada ya kutoonekana...

READ MORE

Aziz Ki & Chama… Watibua Mipango Baada ya Kukipata Walichokuwa Wanakitaka

  MCHUMA janga hula na wakwao. Itakuwa hivyo kwa mastaa wawili wa Yanga na Simba ambao wamekipata walichokuwa wanakitaka.  ...

READ MORE

Uturuki Yafurahishwa na Hatua ya Wanajeshi wa Russia Kuondoka Kherson

  Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema kwamba anakubaliana na hatua ya Russia kuondoa wanajeshi wake kutoka mji wa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la Championi na Ijumaa leo Nov-11,   Gazeti la Championiwww.globalapp.co.tz Gazeti la Ijumaahttps://bit.ly/3V9byln . Twende...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa, Novemba 11, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Novemba 11 , 2022 Usipitwe na...

READ MORE

Biriani Festival na Coca Cola si Mchezo

    Dar es Salaam: 11/11/2022. KAMPUNI ya Coca-Cola Kwanza kupitia kampeni yake ya Biriani Friday na Coka ambayo ilianza...

READ MORE

Mechi Zenye Odds Kubwa Meridianbet Wikiendi Hii …Copa Del Rey, Serie A

Baada ya EPL kusimama kupisha michuano ya Carabao Cup, Wikiendi Hii itaendelea tena kwa michezo kadhaa kabla ya michuano ya...

READ MORE

Kijana Akamatwa Baada ya Kumrushia Mfalme Charles Mayai Yorkshire Kaskazini

Kijana mwenye umri wa miaka 23 amekamatwa na Polisi baada ya kumrushia mayai Mfalme wa Uingereza, King Charles III aliyekuwa...

READ MORE

Rais wa Liberia George Weah Awashangaza Wananchi Wake Kisa Kombe la Dunia

Rais wa Liberia, George Manneh Weah amelifahamisha baraza la seneti kuwa anapanga kukaa siku tisa nchini Qatar kutazama mechi za...

READ MORE

TRA Yaipongeza CBE Kwa Kuanzisha Klabu ya Kodi Kwa Wanafunzi

    MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imepongeza Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kwa kuanzisha klabu ya kodi kwa...

READ MORE