×

Ajali ya Ndege Ziwa Victoria Waliofariki Wafikia 19, Majeruhi 26

Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamila idadi ya waliofariki yafikia 19, majeruhi 26. Taarifa hiyo imetolewa...

READ MORE

Jeshi la Polisi Latoa Elimu ya Uzalendo Kwa Maelfu ya Waumini Kanisa la Ngome ya Yesu

    6 Novemba 2022: JESHI polisi nchini leo limetoa elimu ya uzalendo mbele ya maelfu ya waumini waliofurika kwenye...

READ MORE

Kocha wa Yanga Aitaja Siri ya Kuwang’oa Waarabu Nchini Tunisia Kombe la Shirikisho

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia Nasreddine Nabi ameshangaa kuwaona watu kama wamefungwa katika mchezo wa kwanza huku akiwaambia mashabiki wa...

READ MORE

Rais Samia Atoa Pole Kufuatia Ajali ya Ndege Iliyotokea Ziwa Victoria

RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa watu walioathirika kufuatia ajali ya ndege ya Shirika la Precision katika Ziwa Victoria...

READ MORE

Kisa Rayvanny… Paula, Fahyma Vitani Upya Paula Amwambia Fahyma ‘Huna Akili’

  Rayvanny au Vanny Boy; ni supastaa mwingine wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ambaye miezi michache iliyopita alithibitisha...

READ MORE

Nafasi ya Kazi CAMARTEC, Artisan(Carpentry)

POST ARTISAN (CARPENTRY) II – 1 POST EMPLOYER Centre for Agricultural Mechanization and Rural Technology(CAMARTEC) APPLICATION TIMELINE: 2022-10-28 2022-11-10 JOB...

READ MORE

Yanga Yawaacha Waarabu Kwenye Mataa, Yatua Jiji la Sousse nchini Tunisia Kibabe

HATIMAYE uongozi wa Yanga umewaacha kwenye mataa wapinzani wao Club Africain baada ya kufanikiwa kugundua mitego mizito, jambo lililowafanya kwenda...

READ MORE

Harmonize Afunguka Kumsaliti Kajala, Ataja Video ya Wimbo Wake wa ‘The Way You Are’

  Harmonize au Konde Boy; ni supastaa wamuziki  wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ambaye nyimbo zake hazikauki midomoni mwa mashabiki...

READ MORE

Updates: Ndege ya Precision Air Yaanguka Bukoba, 26 Waokolewa Kati ya 43 -Video

  Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amesema Ndege ya Precision Air iliyopata ajali wakati wa kutua Bukoba leo...

READ MORE

Mgomo wa Marubani wa Kenya Airways Wakwamisha maelfu ya Abiria

Maelfu ya abiria wa shirika ndege la Kenya Airways wamekwama baada ya marubani wa shirika hilo kuanza mgomo siku ya...

READ MORE

Mawaziri wa Rwanda na DRC Wakutana na Rais Joao Lourenco Kujadili Mapigano ya M23

Mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamekua na mazungumzo na rais...

READ MORE

Mwinyijuma, Aliyekuwa Mwanasheria wa RAHCO Massawe Waachiwa Huru Kisutu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imewaachia huru mfanyabiashara Kanji Mwinyijuma na aliyekuwa Mwanasheria wa Kampuni Hodhi ya...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la SpotiXtra leo Nov-06, Kwa nusu bei tu Gazeti la Spoti Xtrawww.globalapp.co.tz AU SpotiXtrahttps://bit.ly/3gWuHXW

READ MORE

Lopetegui Atambulishwa Rasmi Kuwa Kocha Mpya wa Wolves

WOLVERHAMPTON Wanderers imemtambulisha rasmi Julen Lopetegui raia wa Hispania na aliyewahi kuwa Kocha mkuu wa klabu ya Reala Madrid pamoja...

READ MORE

Hatimaye Bilionea Tapeli Hushpuppi Ahukumiwa Kwenda Jela

HATIMAYE hukumu ya mwizi nguli mitandaoni ambaye ni raia wa Nigeria, Ramon Abbas (39), maarufu Hushpuppi imesomwa Alhamisi, Novemba 3,...

READ MORE

Rayvanny Apewa Tuzo Dubai, Amtaja Rais Samia Suluhu Hassan

STAA wa Bongo Fleva, Rayvanny ametunukiwa Tuzo ya heshima kama msanii wa Afrika anayefanya vizuri duniani usiku wa kuamkia leo...

READ MORE

Chelsea Yamfungia Kazi Kinda wa Brazil, Madrid na PSG Zapigana Vikumbo

KLABU ya Chelsea ya nchini Uingereza imeonesha nia ya dhati ya kuinasa Saini ya kinda wa Brazil kutoka katika klabu...

READ MORE

Live: Kumekucha Bungeni, Wabunge Wanaibana Serikali kwa Hoja Nzito – Video

BUNGE 12 mkutano wa 9 kikao cha 5 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeendelea leo ambapo Wabunge wanaibana Serikali...

READ MORE

Epl, Laliga, Ligue 1, Serie A na Bundesliga Kuendelea Wikiendi Hii, Pata Odds Bomba

Ni muendelezo wa Ligi mbalimbali ulimwenguni, EPL, LaLiga, Ligue 1, Serie A na Bundesliga zote zitatimua vumbi wikiendi hii, Usiwaze...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la Championi leo Nov-05, Kwa nusu bei tu Gazeti la Championiwww.globalapp.co.tz AU Championihttps://bit.ly/3M4GO0G . Twende...

READ MORE