×

Bashiri Leo Upate Samsung A26 na Meridianbet

Leo hii una nafasi ya kumiliki simu ya ndoto zako na Meridianbet ambapo kwa kubashiri mechi za mpira wa miguu...

READ MORE

CHADEMA Yalalamikia Kufungiwa Namba ya Michango ya Brenda Rupia

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa taarifa kuwa namba ya simu ya Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama...

READ MORE

Yas na Mixx Zasherehekea Mwaka Mmoja Kama Mshirika wa Kidijitali na Kifedha kwa Watanzania

23 Januari 2026 | Dar es Salaam – Chapa za Yas na Mixx, leo zimesheherekea mwaka mmoja tangu zilipo jitambulisha...

READ MORE

Waziri wa Viwanda Aridhishwa na Viwango ALAF

Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Judith Kapinga amefanya ziara katika kiwanda cha ALAF Limited, kinachoongoza katika suluhisho mbalimbali za...

READ MORE

Kili International Marathon 2026 yazinduliwa Moshi kwa kishindo

Wakazi na wanariadha wilaya ya Moshi na mkoani Kilimanjaro kwa ujumla wana kila sababu ya kutabasamu kufuatia uzinduzi wa msimu...

READ MORE

Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Aongoza Kampeni ya Utoaji Elimu na Uandikishaji Wanachama Soko la Mabibo

Dar es Salaam. Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeendelea kutoa elimu ya hifadhi ya jamii na kuandikisha...

READ MORE

Mkutano Wa Wazee Kuimarisha Haki Umoja Na Amani Kwa Watanzania Yatoka Na Maadhimio Haya

Wito umetolewa  kwa Watanzania Kuwajibika na kuwawajibisha wasiowajibika kwa mujibu wa Katiba, Sheria na Kanuni ziongozazo.ili Kuweka maslahi ya Taifa...

READ MORE

Mali Zetu Zilikuwa Zinataka Kupigwa Mnada na Benki, Mwisho Tukaponea Kwenye Tundu la Sindano

Miaka michache iliyopita, mke wangu na mimi tulikabiliana na tatizo kubwa sana la kifedha. Deni la Sh. 3 Milioni lilikuwa...

READ MORE

Waziri Mkuu Asisitiza Huduma Zote za Serikali Kutolewa Dodoma

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali inataka kazi zote zifanyike makao makuu ya nchi ili kusogeza huduma karibu...

READ MORE

TAKUKURU Yawatafuta Alex Msama na Benny Mwita kwa Tuhuma za Uhujumu Uchumi – Video

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inawatafuta Alex Msama Mwita na Benny Mwita Sammoh kwa tuhuma za uhujumu...

READ MORE

Ligi Kuu Bara Yashika Nafasi ya 6 Afrika, Yapanda hadi Nafasi ya 54 Duniani

Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara imeendelea kuimarika kimataifa baada ya kushika nafasi ya sita (6) kwa ubora barani Afrika...

READ MORE

Israel Yaua Waandishi wa Habari Gaza – Video

Waandishi watatu wa habari wa Kipalestina wameuawa kufuatia shambulio la anga la Israel katikati mwa Ukanda wa Gaza, kwa mujibu...

READ MORE

TRA na Sudan Kusini Kuanzisha Ushirikiano Wa Pamoja Kudhibiti Mianya ya Ukwepaji Kodi

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Mamlaka ya Mapato Sudan Kusini (SSRA) zinatarajia kuanzisha ushirikiano katika masuala mbalimbali ya kodi...

READ MORE

Maelfu ya Wananchi Ikungi Mashariki Wakusanyika Kumpokea Kenani Kihongosi

Maelfu ya wananchi wa Ikungi Mashariki, hususan katika eneo la Puma, wamejitokeza kwa wingi leo kumpokea Katibu wa NEC Itikadi,...

READ MORE

Europa League/Conference: Mashindano Yamefikia Kiwango Kikubwa

Pesa iko nje nje leo hii kwenye mechi za Europa ndani ya Meridianbet kwani kila kitu unachotaka kipo hapa kuanzia...

READ MORE

Trump Afungua Njia ya Makubaliano Kuhusu Greenland

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa serikali yake inachunguza uwezekano wa kufikia makubaliano kuhusu Greenland, kufuatia mazungumzo aliyofanya na...

READ MORE

Waziri Mkuu Aongoza Mkutano Kazi Wa Mawaziri, Manaibu Mawaziri

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameongoza mkutano kazi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu na Viongozi Waandamizi wa Serikali uliofanyika Januari 21,...

READ MORE

Mbowe Atangaza Ratiba ya Mazishi ya Muasisi wa Chadema, Mzee Edwin Mtei – Video

Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ametangaza rasmi ratiba ya mazishi ya muasisi wa chama...

READ MORE

Bobi Wine Aeleza Hatari Anayokabili Baada ya Uchaguzi Tata Uganda

Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, amethibitisha kuwa kwa sasa yuko mafichoni akihofia usalama...

READ MORE

TVBET Yaja Kwa Kishindo Na Michezo Mubashara Ndani ya Meridianbet

Sekta ya michezo ya kubahatisha mtandaoni inaingia sura mpya baada ya Meridianbet kumleta rasmi TVBET. Suala hili ni mageuzi yanayobadilisha...

READ MORE