×

RC Kilimanjaro Azindua ATM Ya Nmb ya Kubadili Fedha za Kigeni Uwanja wa KIA

  Benki ya NMB leo imezindua rasmi mashine ya kubadilisha fedha (Forex – ATM) katika uwanja wa ndege wa kimataifa...

READ MORE

GGML Watoa Magodoro 50 kwa Kituo cha Wazee Bukumbi

KATIKA kuunga mkono juhudi za Serikali kuwajali na kuboresha maisha ya wazee nchini, Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Dhahabu Geita...

READ MORE

Pakistan Yaomba Msaada Wakimataifa Baada ya Kukumbwa na Mafuriko ya Ghafla

PAKISTAN iko mbioni kuzuia upotezaji zaidi wa maisha huku ikikabiliwa na moja ya maafa mabaya zaidi ya hali ya hewa...

READ MORE

Kagera Yafikisha Asilimia 97 Sensa, Chalamila Atema Cheche

WAKATI leo ikiwa ndiyo siku ya mwisho ya sensa nchini mkuu wa mkoa wa Kagera Albert Chalamila, amesema kuwa mkoani...

READ MORE

Muafrika Kusini Akimbia Kilomita 90 Kumchumbia Mwanamke

MZEE mmoja mwenye umri wa miaka 57, aliyetambulika kwa jina la Joseph Kagiso Ndlovu, alikimbia mbio za kilomita 90 (maili...

READ MORE

Kim Poulsen Atimuliwa Kuwa Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limefikia makubaliano ya kumuondoa kocha wa Timu ya Taifa, Taifa Stars, Kim Poulsen...

READ MORE

Watu 32 Wauawa na Wengine 159 Wajeruhiwa Tripoli, Libya

WATU 32 wameuawa na wengine 159 kujeruhiwa katika mapiganao kati ya makundi hasimu dhidi ya makundi yanayounga Serikali ya Libya...

READ MORE

Azam FC Yamng’oa Kocha Moalin Pamoja na Msaidizi Wake, Wapewa Majukumu Mapya

KLABU ya Azam FC imefikia makubaliano ya kusitisha kandarasi ya Kocha wake Mkuu Abdihamid Moalin pamoja na na msaidizi wake...

READ MORE

Katika Tukio la Kushtusha Aubameyang Avamiwa Nyumbani Kwake, Apigwa na Kuibiwa

MCHEZAJI wa klabu ya FC Barcelona ya nchini Uhispania raia wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang amevamiwa na watu wenye silaha nyumbani...

READ MORE

Kampuni ya Kompyuta ya Dell ya Marekani Yasitisha Rasmi Huduma Zake Nchini Urusi

KAMPUNI ya teknolojia ya Dell yenye Makao yake Makuu nchini Marekani inasema ilikuwa imemaliza shughuli zote nchini Urusi baada ya...

READ MORE

Serena William Kustaafu Mchezo wa Tenis Katika Michuano ya US open

SERENA (40) anatarajia kutoa ujumbe wa kuaga mashabiki wake na mashabiki wa mchezo wa Tenis. Mshindi huyo mara 23 wa...

READ MORE

Pogba: Wanafanya Njama Niwape Pesa, Kaka Yangu Anahusika Pia.

KUFUATIA maneno ya kaka mkubwa wa kiungo wa kati wa Ufaransa na klabu ya Juventus Paul Pogba, Mathias Pogba    siku...

READ MORE

Nafasi za Kazi Smollan Tanzania – Merchandiser

MERCHANDISER (Tanzania) 2022/08/17 Reference Number SMP-87 Description At Smollan, we’re on an evolutionary journey where we’re shifting our story. We’re...

READ MORE

Zaidi ya Watu 12 Wameuawa Congo Katika Mashambulizi Tofautitofauti

ZAIDI ya watu 12 wameuawa huko Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo katika mashambulizi yaliyotokea mashariki mwa nchi hiyo siku 3...

READ MORE

Mahakama ya Rufaa Yaidhinisha Kifungo cha Miaka 30 Gerezani kwa Mlinzi wa Kanisa

MLINZI wa Hospitali ya Kanisa Katoliki la Kijiji cha Mwanzugi wilayani Igunga, Peter Marco apata kifungo cha miaka 30 gerezani...

READ MORE

Papa Francis Ateua Makardinali Watakaoshiriki Kumteua Mrithi wa Kiti Chake

BABA Mtakatifu na mkuu wa kanisa katoliki duniani Papa Francis (85) amewateua maaskofu 20 na kuwatawaza kuwa makaldinali watakaoongezeka kwenye...

READ MORE

Bilionea Elon Musk: Kuna Upungufu Mkubwa wa Watu Wanaozaliwa Duniani

ELON MUSK; ni tajiri namba moja duniani mwenye utata mkubwa kutokana na kauli zake zisizoeleweka mbele wala nyuma kama kitumbua...

READ MORE

Zisome Hapa Njia 3 za Kukabili Ongezeko la Gharama za Maisha

HATA bila takwimu za kukusanywa na kishikwambi, kila kona nchini kuna malalamiko na manung’uniko juu ya kupanda mno kwa gharama...

READ MORE

Kampeni ya ‘Uzazi ni Maisha Wogging’ kwa Uzazi Salama Zanzibar Yadhaminiwa na Benki ya NBC

    Zanzibar, Tanzania – 27 Agosti, 2022 Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na Shirika la Amref...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu, Agosti 29, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 29 , 2022 Usipitwe na...

READ MORE