×

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la Championi Aug-13, kwa nusu bei na uingie katika droo kujishindia zawadi ya hadi shilingi...

READ MORE

Sistinho: Makocha wa SWPL Waangalie Vipaji Kwenye Mashindano ya CECAFA CLQ

MCHAMBUZI wa soka kupitia vipindi vya michezo vya Global tv online na+255 Global Radio, Sistinho amesema makocha wa timu za...

READ MORE

 Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu ya NBC Waipiga 2-1 Polisi Tanzania

MABINGWA watetezi wa Ligi kuu ya NBC Tanzania bara, Yanga SC wameanza kampeni za kuutetea ubingwa wao kwa ushindi wa...

READ MORE

Waziri Nape Azindua Mawasiliano ya Intaneti yenye kasi Mlima Kilimanjaro

LEO Agosti 16, 2022 Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amezindua rasmi mawasiliano ya intaneti yenye...

READ MORE

Milipuko Yatikisa Ngome ya Urusi Iliyopo Crimea, Yadaiwa Kuwa Mapigo ya Makusudi

CRIMEA Peninsula ambayo ilitekwa kutoka Ukraine na kisha kutwaliwa na Urusi mapema 2014, na wakati majeshi ya Urusi yalipoanzisha uvamizi...

READ MORE

Vifo 8 na Majeruhi Ajalini Mbeya, Magari Manne Yahusika, Kamanda Atoa Tamko Zito

AJALI mbaya iliyohusisha magari manne imetokea leo katika eneo la Shamwengo huko Mbeya ikisababisha vifo kwa watu zaidi ya nane...

READ MORE

Matokeo ya Uchaguzi Kenya 2022: Raila Odinga Akataa Matokeo ya Uchaguzi – Video

  ALIYEKUWA mgombea urais wa Kenya, kupitia wa Azimio la Umoja, Raila Odinga Raila, amekataa matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika...

READ MORE

Mwanamuziki Adele Akolewa na Penzi Jipya la Rich Paul, Ataka Watoto Zaidi 

MWANAMUZIKI Adele raia wa Uingereza amesema anafikiria uwezekano wa kupata watoto zaidi kutokana na penzi analopata kutoka kwa mpenzi wake...

READ MORE

Makamishna wa Tume ya Uchaguzi Waliojitenga na Matokeo Wazungumza

  Makamishna wanne wa tume ya uchaguzi nchini Kenya IEBC wakiongozwa na Naibu Mwenyekiti wa tume hiyo Juliana Cherera, wamejitokeza...

READ MORE

Uingereza Imekuwa Nchi ya Kwanza Kuidhinisha Chanjo ya Aina Mbili za Corona

UINGEREZA ndiyo nchi ya kwanza kuidhinisha matumizi ya chanjo iliyoundwa kulenga aina mbili tofauti za virusi vya Corona ambavyo ni...

READ MORE

Geita Gold Waapa Kuifunga Simba, Nahodha Wao Asema Hawata Wadharau

KLABU ya Geita Gold yenye makazi yake mjini Geita inaenda kushusha karata yake ya kwanza katika mchezo ya ligi kuu...

READ MORE

Kocha wa Simba Awataka Mashabiki wa Klabu Hiyo Kuwa Watulivu

BAADA ya kupoteza mechi kwenye ngao ya jamii dhidi ya Yanga kwa kufungwa bao 2 kwa 1, Kocha mkuu wa...

READ MORE

Mwili wa Aliyekuwa Msimamizi wa Uchaguzi Kenya Aliyetoweka Waokotwa

ALIYEKUWA Msimamizi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya (IEBC) katika Jimbo la Embakasi Mashariki, Daniel Musyoka amekutwa...

READ MORE

50 Wanusurika Kifo Basi Likiteketea kwa Moto, Dereva wa Basi Hilo Atamka Neno

BASI la kampuni ya usafirishaji la Tashrif limeteketea kwa moto asubuhi ya leo tarehe 16 Agosti 2022 wakati likiwa safarini...

READ MORE

Mayele Awekewa Ulinzi Mkali na Polisi Tanzania leo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha

  KOCHA Mkuu wa Polisi Tanzania, Joslin Sharif, amefunguka kuwa, tayari amezungumza na mabeki wake ili kuhakikisha hawafanyi makosa na...

READ MORE

Shaka Awasili Mkoani Tabora, Anatarajiwa Kukagua Miradi ya Serikali

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amewasili mkoani Tabora kwa ziara ya...

READ MORE

Kundi la Mashabiki wa Man Utd Wanamtaka Glazer Achukuliwe Hatua

THE Manchester United Supporters’ Trust (MUST) imetaka majibu kutoka kwa familia ya Glazer kuelezea kwanini klabu hiyo imeanza na matokeo...

READ MORE

Zamu ya Hamisa Kutesa na Range Rover Lenye Thamani ya Shilingi Milioni 150

  Hamisa Mobeto; ni mwanamama staa wa muziki, filamu na mitindo nchini Tanzania ambaye sasa ni zamu yake kutesa na...

READ MORE

Rais Samia Atia Neno Ushindi wa Ruto Kiti cha Urais Kenya

BAADA ya Tume Huru ya Uchauzi ya Kenya IEBC hapo jana tarehe 15 Agosti 2022 kumtangaza Dkt. William Ruto kuwa...

READ MORE

Tanzania na Oman Kushirikiana Kukuza Sekta ya Nishati

  wa Nishati Mhe.January Makamba amekutana na Mhe. Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe. Saud Hilal Al Shidhani na kuzungumzia...

READ MORE