×

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi, Juni 2, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Juni 2, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

JIpatie nakala ya Gazeti la Spoti Xtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS...

READ MORE

Exim Yakutana na Wateja Wake Shinyanga

                   

READ MORE

Mimi Mars Asema Urafiki Wake na Marioo Unafanya Kazi Kuwa Rahisi – Video

MSANII wa Bongo Fleva na Muigizaji Mimi Mars amesema urafiki alionao na msanii mwenzake Marioo unafanya mazingira ya kazi ya...

READ MORE

Kufuatia Sakata la Mtoto wa Miaka 8 Kuuawa, Wazazi Waibua Mazito – Video

SAKATA la mtoto mwenye umri wa miaka 8 anayedaiwa kunyongwa na msichana wa kazi eneo la Kimara Temboni mtaa wa...

READ MORE

Nafasi za Kazi 3 National Audit Office (NAOT), Fani ya Usalama wa Mfumo ya TEHAMA

POST FANI YA USALAMA WA MIFUMO YA TEHAMA II(ICT SECURITY) – 3 POST EMPLOYER National Audit Office (NAOT) APPLICATION TIMELINE:...

READ MORE

Sakata la Mume Aliyemuua Mke kwa Risasi Lawaibua Wanaharakati (Picha +Video)

  MWANAHARAKATI Joyce Kiria ambaye kwa muda mrefu amekuwa akipambana kuhusu haki za wanawake na watoto ametembelea na kufanya mahojiano...

READ MORE

Breaking News: Makada 19 wa Chadema Waachiwa Huru na Mahakama Mwanza

Viongozi na wanachama 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) walioshtakiwa kwa madai ya kufanya fujo wakati wa ibada...

READ MORE

Live: Mwili wa Aliyejiua kwa Risasi Umefikishwa Nyumbani Kwake Tayari Kusafirishwa Kwenda Kuzikwa

 MWILI wa Mfanyabiashara wa Jijini Mwanza Said Oswayo (37) anayedaiwa kujiua kwa risasi umetolewa chumba cha kuhifadhia maiti Hospitali...

READ MORE

Waziri wa Nishati Awasilisha Bajeti Yake Bungeni, Agusia Maboresha ya Umeme Vijijini

WAZIRI wa Nishati January Makamba ametoa hotuba ya makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake kwa mwaka wa fedha...

READ MORE

Jeuri ya Zuchu Kwa Diamond Platnumz Yawekwa Wazi, Afanya Makubwa Chini ya Lebo ya WCB

  ZUCHU; ni malkia mpya wa muziki nchini Tanzania ambaye ametumia miaka miwili vizuri ndani ya muziki na kujitengezea himaya...

READ MORE

Video: Rais Samia Akabidhi Magari Mapya Kwa Wakurugenzi, Viwanja Vya Posta – Dar

 Rais Samia leo Juni 1, 2022 anatarajiwa kukabidhi magari kwa Wakurunenzi wa Halmashauri katika viwanja vya Viwanja vya Posta...

READ MORE

Washindi wa Tano Bora Miss Tanzania 2022 Wakabidhiwa Zawadi Zao

    Waandaji wa shindano la Miss Tanzania kampuni ya ‘The Look’ kwa kushirikiana na wadhamini wa shindano hilo Startimes,...

READ MORE

Dada wa Kazi Adaiwa Kumuua Mtoto kwa Kumnyonga Kimara, Dar… Anaswa na CCTV Kamera

DADA wa kazi anadaiwa kumuua Mtoto Erickson Kimaro (8) kwa kumnyonga. Tukio hilo limetokea Mei 30, 2022 eneo la Kimara...

READ MORE

Airtel Yaja na Tesa Kimilionea Inaendelea, Kutoa RAV4, Mil 10 na Mil 1 Kila Siku

    DAR ES ALAAM, Jumatano Juni 2022: Airtel Tanzania leo imetangaza TESA KIMILIONEA INAENDELEAAAA ambapo kwa sasa wateja na...

READ MORE

Mimi Mars: Sina Uhusiano wa Kimapenzi na Marioo, Atoa Tamko Kwa Mashabiki Wake

  MIMI Mars; ni mwimbaji wa Bongo Fleva na mwigizaji wa Bongo Movies ambaye anasema kuwa, hana mahusiano ya kimapenzi...

READ MORE

Nafasi za Kazi 38 MDAs & LGAs, Msaidizi wa Hesabu II (Accounts assistant II)

POST MSAIDIZI WA HESABU II (ACCOUNTS ASSISTANT II) – 38 POST EMPLOYER MDAs & LGAs APPLICATION TIMELINE: 2022-05-28 2022-06-07 JOB...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano, Juni 1, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Juni 1, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Equity Bank Tanzania Wazindua Kampeni ya Karibu Memba

    LEO Benki ya Equity imezindua kampeni yake mpya iitwayo Karibu Memba ambapo Mkuu Wa Kitengo Cha Uendeshaji Wa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE