The House of Favourite Newspapers

Rais Dkt. Samia Azungumza na Wananchi Tunduma Akielekea Dodoma – (Picha + Video)

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi wa Tunduma Mkoani Songwe wakati akiwa njiani kuelekea Mkoani Dodoma tarehe 18 Julai, 2024 baada ya kuhitimisha Ziara yake ya Kikazi Mkoani Rukwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasalimia Wananchi wa Tunduma Njiani kuelekea Dodoma Mara baada ya Kumaliza Ziara yake Mkoani Rukwa leo Julai 18, 2024.

Shamrashamra za Wananchi wa Tunduma katika mapokezi ya Rais Samia mara baada ya kuwasili wakati akitokea Mkoa wa Rukwa tarehe 18 Julai, 2024.

Leave A Reply