The House of Favourite Newspapers
gunners X

Rais Mwinyi ashiriki futari iliyoandaliwa na Rais Samia Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akijumuika kwenye iftar iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Viongozi wa siasa, Serikali , dini na makundi maalum katika viwanja vya Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 20 Machi, 2025.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi amejumuika kwenye Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kwa viongozi wa siasa, Serikali, dini na makundi maalum katika viwanja vya Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 20 Machi, 2025.

Comments are closed.