The House of Favourite Newspapers
gunners X

Rais Samia Akutana na Kuzungumza na Viongozi Mbalimbali Ikulu – Picha

0

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Januari, 2025.
Rais Samia amekutana na kuzungumza na Rais wa Benki ya Dunia Bw. Ajay Banga, Ikulu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Januari 27, 2025.

Rais Dkt. Samia amekutana na kuzungumza na Rais wa Taasisi ya Rockefeller Dkt. Rajiv Sha.
Rais Samia amekutana na kuzungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bi. Amina Mohamed Ikulu.

WAKUU wa NCHI za AFRIKA WAPAMBANA kwa HOJA NZITO KUHUSU MAPINDUZI ya NISHATI….

Leave A Reply