The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Alivyowasili Jijini Dar baada ya kuhudhuria Uapisho wa Rais wa Afrika Kusini

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Juni 19, 2024 amewasili Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuhudhuria hafla ya Uapisho wa Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa iliofanyika Pretoria jana.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuhudhuria hafla ya Uapisho wa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa iliofanyika Pretoria tarehe 19 Juni, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiondoka katika uwanja wa Ndege wa Waterkloof Pretoria nchini Afrika Kusini mara baada ya kuhudhuria hafla ya Uapisho wa Rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa iliofanyika Pretoria tarehe 19 Juni, 2024.

Leave A Reply