Rais Samia Alivyowasili Nigeria Kuhudhuria Sherehe Ya Kuapishwa Rais Mteule Tinubu – (Picha +Video)



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Nigeria Mei 28, 2023, kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule wa Nchi hiyo Bola Tinubu, aliyeshinda kiti hicho kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika Februari 25, 2023.