Rais Samia Alivyopiga Picha ‘Selfie’ na Wananchi wa Morogoro Wakati Akiondoka


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Agosti 6, 2024 amepiga picha ‘selfie’ na wananchi wa Morogoro wakati akiondoka katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro mara baada ya kuwahutubia.