Rais Samia Ashiriki Ufunguzi Wa Kikao Kazi Cha Wenyeviti Wa Bodi AICC Arusha – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Agosti 28, 2024 ameshiriki Ufunguzi wa kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC).
