The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Ashiriki ufunguzi wa mkutano wa Korea na Afrika uliofanyika Kintex

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan akiwasili Kintex, nje kidogo ya Jiji la Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa Korea na Afrika tarehe 04 Juni, 2024.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Juni 4, 2024 ameshiriki katika ufunguzi wa mkutano wa Korea na Afrika uliofanyika Kintex, nje kidogo ya Jiji la Seoul, Jamhuri ya Korea.

Rais Samia akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Nchi mbalimbali mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa Korea na Afrika uliofanyika Kintex, nje kidogo ya Jiji la Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 04 Juni, 2024.
Rais Samia  akizungumza na baadhi ya Viongozi mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa Korea na Afrika uliofanyika Kintex, nje kidogo ya Jiji la Seoul, Jamhuri ya Korea.

PICHA NA IKULU YA TANZANIA, KOREA

MREMBO ALIA kwa UCHUNGU MWANAYE AKIFARIKI AKIBEMBEA – ”BABA MTOTO HAKUJA KWENYE MAZISHI”….

Leave A Reply