Rais Samia Ashiriki Zoezi La Undikishaji Kwenye Daftari La Wapiga Kura Wa Serikali Za Mitaa – (Picha + Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan ashiriki zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa Katika Kitongoji cha Sokoine Wilaya ya Chamwino – Dodoma, leo tarehe 11 Oktoba, 2024.


