Rais Samia Avunja Wizara Ya Ujenzi Na Uchukuzi, Aunda Wizara Mbili Mpya, Mabadiliko Baraza La Mawaziri Na Makatibu Wakuu
Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi na kuunda Wizara ya Ujenzi na Wizara ya Uchukuzi
Amemteua Prof. Makame Mbarawa aliyekuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kuwa Waziri wa Uchukuzi
Amemteua Innocent Bashungwa, aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kuwa Waziri wa Ujenzi