The House of Favourite Newspapers
gunners X

Rais Samia Awasili Dodoma Akitokea Jijini Mwanza

0
 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma akitokea Jijini Mwanza baada ya kusimikwa kuwa Mkuu wa Machifu wote Tanzania na kuitwa jina la Hangaya yani ni Nyota inayong`aa, katika Tamasha la Utamaduni (Mila na Desturi zetu) lililofanyika leo tarehe 08 Septemba, 2021 katika Viwanja vya Redcross Kisesa Magu, Mkoani Mwanza.

Leave A Reply