Rais Samia Azungumza na Wafanyabiashara Akiwa njiani Kuelekea India – Picha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara pamoja na Wawekezaji mbalimbali wa Tanzania wakati akiwa njiani kuelekea New Delhi kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa nchini India tarehe 08 Oktoba, 2023.