The House of Favourite Newspapers

Sherehe ya 40 Ya Mtoto wa Jux na Priscilla Yazua Gumzo Mitandaoni

0

Msanii nyota wa RnB Juma Jux na mke wake mrembo Priscilla wameweka kumbukumbu nyingine ya kipekee baada ya kufanya sherehe ya 40 ya mtoto wao kwa bashasha na mvuto wa hali ya juu.

Sherehe hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam imepambwa kwa mandhari ya kifahari, mapambo ya kisasa na nyuso za furaha kutoka kwa wageni waalikwa akiwemo familia, marafiki wa karibu na mastaa kadhaa wa muziki na burudani.

Mashabiki mitandaoni wamefurahishwa na picha na video zilizopostiwa zikionesha Jux na Priscilla wakiwa wenye furaha tele sambamba na mtoto wao, hali iliyoleta hisia za upendo na mshikamano wa kifamilia.

Kwa mashabiki wa Jux, tukio hili limekuwa sio tu sherehe ya kifamilia bali pia ni tukio la burudani lililowapa nafasi ya kushuhudia upande mwingine wa maisha ya staa huyo wa muziki wa RnB, mbali na jukwaa na muziki.

Leave A Reply