The House of Favourite Newspapers

Simba Day: Upendo wa Mashabiki Wawasha Moto Mkapa

0

Simba Day ni tamasha maalumu kwa ajili ya utambulisho wa wachezaji na benchi la ufundi. Katika tamasha hilo kutakuwa na mchezo wa kimataifa wa kirafiki. Simba SC vs Gor Mahia watakutana uwanjani.
Mashabiki wamejitokeza kwa wingi katika tamasha hili maalumu ambalo linakutanisha wadau wa michezo Tanzania.

Mashabiki wamenunua tiketi kwa wingi mara baada ya siku ya tamasha kutajwa. Simba SC ilikuwa na kampeni nyingi zilizofanyika. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC alikuwa anasimamia shughuli zote.

“Hili ni tamasha kubwa ambalo kila Mwanasimba anapaswa kufurahia na kikubwa ni kuwa tayari na kila atakayekuja atafurahi,”.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.

Leave A Reply