Simba Yamtambulisha kocha Mkuu Mpya Abdelhak Benchikha

Klabu ya Simba imemtambulisha kocha Mkuu mpya Abdelhak Benchikha ambaye amekuja na kocha wake Msaidizi Farid pamoja na kocha wa viungo, Kamal tayari kwa kuianza kazi ya kukinoa kikosi hicho.
• Kocha mkuu Abdelhak Benchikha.
• Kocha msaidizi Farid Zemiti.
• Kocha wa viungo Kamal Boudjenane.


