Niyonzima, Balama Waogelea Minoti
JUMAMOSI iliyopita viungo wa Yanga, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima na Mapinduzi Balama, walionekana lulu na wafalme, baada ya kutunzwa fedha huku wakibebwa juujuu na mashabiki wa timu hiyo.
Tukio hilo la aina yake lilitokea…
