Tambwe amtetea Salamba kuomba njumu
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrundi Amissi Tambwe ameonyesha kusikitishwa na kitendo cha straika wa Simba, Adam Salamba kuomba msamaha baada ya kuonekana akimwomba njumu staa wa Sevilla, Ever Banega, Alhamisi iliyopita.
Salamba…
