SIMBA WAGOMA KUMUUZA OKWI KWA WAARABU
UONGOZI wa Simba, umedai kuwa hauwezi kumuuza mchezaji wao Mganda, Emmanuel Okwi kwa timu ya Al Masry na umesisitiza kuwa sasa wanawaza kuhusu ubingwa na siyo kuuza wachezaji.
Okwi ambaye amesajiliwa msimu huu…
