Amanda Adaiwa Kufichwa na Bwana Uingereza
STAA wa filamu, Tamrina Posh ‘Amanda’ baada ya kupotea Bongo kwa muda wa miezi miwili sasa, inadaiwa amepelekwa Uingereza na mwanaume ambaye ndiye awali alimfungulia biashara ya saluni.
Chanzo makini ambacho kipo karibu na staa…
