BODI YA BARABARA DAR YAANZA VIKAO KUJADILI KUBORESHA MIUNDOMBINU
BODI ya barabara ya Mkoa wa Dar es Salaam, inayoongozwa na Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda ambaye ni Mwenyekiti wa bodi hiyo imeanza mkutano wake kujadili masuala mbalimbali ikiwemo namna ya kuboresha…
