×

Tag: aveva

Hukumu ya Aveva, Kaburu Yapigwa Kalenda Tena

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kutoa hukumu kutokana na kutokamilika uandaaji wa hukumu na kuomba kuahirishwa kwa shauri hilo...

READ MORE

Hukumu Kesi Ya Evans Aveva na wenzake Kutolewa Saa Nane

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inatarajia kutoa hukumu ya kesi inayomkabili Rais wa zamani wa Klabu ya Simba, Evans Aveva...

READ MORE

Aveva, Kaburu, Hans Pope Kuanza Kujitetea

ALIYEKUWA rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva na wenzake wawili,  wataanza kujitetea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Novemba...

READ MORE

Breaking: Aveva, Kaburu Warejea Uraiani – Video

  Waliowahi kuwa viongozi wa juu wa Klabu ya Simba, Evans Aveva na makamu wake Godfrey Nyange ‘Kaburu’ wameachiwa kwa...

READ MORE

Aveva, Kaburu Wampigia Magoti DPP

Mapema leo Ijumaa, Oktoba 11, 2019, katila Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kupitia kwa wakili wa Serikali Wankyo Simon ameieleza...

READ MORE

Dhamana ya Aveva, Kaburu Ngoma Bado Mbichi!

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kutoa uamuzi juu ya dhamana ambayo walifutiwa waliokuwa viongozi wa Klabu ya Simba, Evans...

READ MORE

Aveva, Kaburu Wafutiwa Dhamana na Kurejeshwa Mahabusu

Aliyekuwa Rais wa Klabu ya Simba, Evance Aveva na Godfery Nyange (Kaburu) wameshindwa kuachiwa kwa dhamana baada ya Mkurugenzi wa...

READ MORE

Shahidi Aanika Mazito Kesi ya Kina Aveva

SHAHIDI namba saba wa kesi inayowakabili waliokuwa viongozi wa Simba, Evans Aveva na wenzake, Frank Mkilanya(45) ameieleza mahakama jinsi nyasi...

READ MORE

Shahidi aomba maji mahakamani kesi ya Aveva

SHAHIDI namba tano, Jovin Kalinga ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar kuwa, alikuwa anafahamiana na kiongozi wa zamani...

READ MORE

Masikini Aveva na Kaburu

ALIYEKUWA Rais wa Simba, Evans Aveva na makamu wake, Godfrey Nyange ‘Kaburu’ wameendelea kusota rumande baada ya kesi yao kuahirishwa...

READ MORE

YALIYOJIRI MAHAKAMANI KESI YA AVEVA NA KABURU

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga kusikiliza hoja za upande wa mashtaka kuhusu ombi la kutaka kufutwa mashtaka ya kesi...

READ MORE

Aveva Afika Mahakamani Huku Hali Yake Ikiwa Tete – Video

Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva ambaye alikuwa akiugua kwa muda mrefu, leo Aprili 5, amefika katika Mahakama ya...

READ MORE

Masikini Aveva, Hali Yake Si Nzuri

HALI ya Rais wa Simba, Evans Aveva, si nzuri na anaendelea kutibiwa ka­tika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete. Jana,...

READ MORE

Yaliyojiri Kortini Kuhusu Kesi ya Vigogo wa Simba

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya utakatishaji fedha na kugushi inayowakabili Rais wa Simba, Evans Aveva na Makamu...

READ MORE

Kesi ya Aveva, Kaburu Upelelezi Wakamilika

KESI inayowakabili Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva na Makamu wake, Godfrey Nyange maarufu kama Kaburu upelelezi wake umekamilika...

READ MORE

Aveva, Kaburu Ngoma Bado Nzito Kisutu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo September 9, 2017 imeutaka upande wa mashtaka katika upelelezi wa kesi inayomkabili Rais wa...

READ MORE

Nyaraka za Kughushi Zazidi Kuwasotesha Aveva na Kaburu Mahabusu (VIDEO)

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Agosti 16, 2017 imeahirisha kwa mara nyingine kesi ya kutakatisha fedha na kughushi nyaraka...

READ MORE

Aveva, Kaburu Wapandishwa Kortini Tena

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Agosti 7, 2017 imeahirisha kwa mara nyingine kesi ya kutakatisha fedha na kughushi...

READ MORE

KISUTU: Kesi ya Aveva na Kaburu Yasogezwa Mbele

Kesi ya madai ya utakatishaji fedha inayowakabili viongozi wa Simba, Rais Evans Aveva na Makamu wake, Godfrey Nyange ‘Kaburu’ imeahirishwa...

READ MORE

EVANS AVEVA APANDISHWA MAHAKAMANI, ARUDISHWA RUMANDE, KABURU AKWAMA

Kesi ya madai ya utakatishaji fedha inayowakabili viongozi wa Simba, Rais Evans Aveva na Makamu wake, Godfrey Nyange ‘Kaburu’ imetajwa...

READ MORE

VIDEO: Wazee Simba Wakinukisha Sakata la Mo Kujiondoa & Udhamini wa SportPesa

  Sakata la mabadiliko ya katiba ya Klabu ya Simba ambayo yanatajwa kuwa yanaweza kuifanya klabu hiyo kuingia katika uwekezaji...

READ MORE

AVEVA LIVE: Sakata la Pointi 3 za Kagera, Simba Kuishtaki TFF kwa FIFA

LEO May 3, 2017 katika Makao Makuu ya Klabu ya Simba, Kariakoo jijini Dar es Salaam, Rais wa timu hiyo...

READ MORE