Manula: Tunakwenda Makundi Afrika
KIPA wa Simba, Aishi Manula amefunguka kuwa kikosi chao kina nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi dhidi ya wapinzani wao kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, FC Platinum ya Zimbabwe na kufuzu hatua ya makundi.
Simba…
