BARAKA , YOUNG DEE KUISIMAMISHA DAR LIVE
KAMA ulikuwa hujui sikukuu ya sabasaba hii (7/7) uende kiwanja gani kula bata jibu lake utalipata ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar ambapo wakali kibao wakiongozwa na Barakah The Prince na…
