Rais Samia Awaomba Radhi Wazee wa Dar kwa Kuvaa Barakoa – Video
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaomba radhi wazee wa Dar es Salaam kutokana na utaratibu wa kuvaa barakoa leo hii. Amesema wamefanya hivyo kwa sababu wazee wanaathiriwa zaidi na #Corona, hivyo ilikuwa…
