×

Tag: barakoa

Rais Samia Awaomba Radhi Wazee wa Dar kwa Kuvaa Barakoa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaomba radhi wazee wa Dar es Salaam kutokana na utaratibu...

READ MORE

Meya Moshi Awaamuru Wajumbe Kuvua Barakoa

MEYA wa manispaa ya Moshi, Juma Raibu Juma,  amewataka wajumbe waliovaa barakoa katika kikao cha baraza la madiwani kuzivua kwa...

READ MORE

Avaa Nyoka Kama Barakoa Kujikinga na Corona

MSAFIRI mmoja amezua taharuki baada ya kuvaa ‘barakoa’ ya nyoka aliyokuwa amejizungushia katika shingo yake na mdomoni ambapo alionekana katika...

READ MORE

Kisa Barakoa; Wananchi Waadhibiwa Usiku Uwanjani

BAADHI ya wananchi wa Rwanda wamejikuta katika wakati mgumu baada ya kupewa adhabu ya kukaa saa kadhaa na kusikiliza hotuba,...

READ MORE

Polisi Achezea ‘Kichapo’ Kisa Kuvaa Barakoa

Baadhi ya wakazi wa kaunti ya Mombasa nchini Kenya, wamezua vurugu na kuanza kumchapa polisi mmoja kichapo cha ‘mbwa mwitu’...

READ MORE

Wizara ya Afya: Toboa Barakoa Kabla Hujaitupa

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imetoa wito kwa wananchi kuteketeza barakoa baada ya kumaliza matumizi...

READ MORE

Ccm Dar, Kugawa Bure Barakoa Milioni 1

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dar es Salaam, Kate Kamba amesema ofisi yake imedhamiria kugawa bure barakoa...

READ MORE