The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

barca

Barca; Jahazi Ndiyo Linazama

NI kama unasoma ukurasa wa mwisho wa hadithi tamu ambayo kamwe haukutaka imalizike. Hali hiyo ndiyo inayowakumba Klabu ya Barcelona ya Hispania baada ya utawala wa muda mrefu barani Ulaya sasa wanaonekana wamegota ukingoni. …

Jina la Messi Latajwa PSG

MSHAMBULIAJI bora wa muda wote ndani ya Barcelona, Lionel Messi amesema kuwa hakuhitaji kuondoka ndani ya Barcelona huku akibainisha kwamba bado hakuna jambo lililothibitishwa kuhusu yeye kujiunga na kikosi cha PSG ambacho kinatajwa…