SHUHUDIA BASI LILIVYOSOMBWA NA MAJI SERENGETI -VIDEO
WATU wanne wanadaiwa kupotea baada ya basi la Kampuni ya Kimotco walilokuwa wakisafiria kusombwa na maji ya mto huko Serengeti kufuatia mafuriko ya mvua kubwa zilizonyesha eneo hilo na kuharibu miuondombinu ya barabara.
…
