HESLB Kufungua Dirisha la Maombi ya Mikopo Ya Wanafunzi Elimu ya Juu Julai Mosi
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza kuwa dirisha la maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu kwa mwaka 2021/2022 linatarajia kufunguliwa Julai Mosi mwaka huu.
…
