Ndege kubwa Zaidi duniani yaanza kuruka Marekani
NDEGE kubwa zaidi duniani yenye injini sita aina ya Boeing 747 imeruka kwa majaribio mara ya kwanza mwishoni mwa wiki California, Marekani. Ndege hiyo ilifanya safari yake katika jangwa la Mojave, California nchini Marekani. Imeandaliwa…
