The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Bongo movies

Diana Hapawezi Mantoni!

PAMOJA na kwamba aliposepa Bongo na kutimkia mamtoni (Marekani), staa wa Bongo Muvi; Diana Kimari, alisema hawezi kurejea, lakini ukweli ni kwamba nyumbani ni nyumbani kwani sasa amepakumbuka mno na anatamani kurejea. …

STEPS YAFUNGA OFISI YA FILAMU

HILI ni pigo kwa waigizaji! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na kampuni maarufu ambayo mastaa wa filamu walikuwa wakifanya nayo kazi, Steps Entertainment kufunga ofisi, Risasi Mchanganyiko linakupa habari kamili.   Chanzo…

ROSE NDAUKA AFUNGUKA UKIMYA WAKE

MUIGIZAJI mwenye mvuto Bongo Movies, Rose Ndauka amefungukia ukimya wake wa muda mrefu na kusema kuwa majukumu yameongezeka na ndiyo maana amepotea.   Akizingumza na Amani, Rose alisema kuwa mtoto wake sasa hivi anakua na…

TIKO SANAA BILA KIKI INAWEZEKANA

STAA wa muziki na filamu Bongo, Tiko Hassan ametoa ya moyoni na kueleza kwamba sanaa bila kiki inawezekana japokuwa wasanii wengi wamejikuta ‘wakilemaa’ na kiki zisizokuwa na maana. Akichezesha taya na Za Motomoto News, Tiko alisema…

JOHARI, RAY WAFIKA PABAYA

DAR ES SALAAM: Mastaa wahenga Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’ na Vincent Kigosi ‘Ray’ wamefika pabaya baada ya kudaiwa kuwa hawana mahusiano mazuri na kila mmoja anafanya kazi kivyake huku Johari akionekana…

KAJALA ACHARUKA MWANAYE KUKUZWA UMRI

MSANII mwenye mvuto wa aina yake Bongo Muvi, Kajala Masanja amesema hana muda wa kubishana na watu wa mitandaoni kuhusu umri wa mtoto wake Paula kwani yeye ndio mzazi na si mtu mwingine. Akizungumza na Amani hivi karibuni mara baada ya…

Dude Aanika Siri Nzito na Mkewe!

MKALI wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amefunguka kuwa, kitu kikubwa kilichomfanya adumu miaka mingi na mkewe Eva ni kutofichana mambo. Akizungumza na Amani juzi, Dude alisema licha ya kupitia ‘mishale’ mingi…

Davina: Kuachika Kumenifunza

MUIGIZAJI wa Bongo Muvi, Halima Yayaha ‘Davina’ amefunguka kuwa hata kama hajapata bahati ya kukaa na mume muda mrefu kama mke lakini kumemfunza kujua maisha mbalimbali na kuwa shupavu kwa mapito aliyopitia. Akizungumza na…

Wastara Alamba Shavu Sweden

Wastara Juma. STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ambaye hivi karibuni alikuwa nchini India kwa matibabu, baada ya kurudi Bongo na kupata nafuu amelamba shavu la kwenda nchini Sweden kuwakilisha wanawake walemavu wa Kiafrika.…

Mafufu Amwanika Mrithi wa Mkewe!

DAR ES SALAAM: Baada ya miezi kadhaa kupita tangu aamue kuokoka na kuachana na mambo ya kidunia hali iliyosababisha mkewe Salma Sadiki kumkimbia kwa kuwa walikuwa wamefunga ndoa ya Kiislamu, hatimaye staa wa filamu za Kibongo, Jimmy Mafufu…

Husna Mkongo Umebaki Ushkaji Tu

MUIGIZAJI wa filamu, Husna Maulid kwa mara ya kwanza amefungukia uhusiano wake kimapenzi na Mkongo, Mwami Radjab kuwa kwa sasa wamebaki washkaji tu. Akichonga na Star Mix, Husna ambaye alifikia hadi hatua ya kuvalishwa pete…