ROSE Ndauka; ni malkia wa Bongo Movies ambaye anasema kuwa, mume wake, Hafidh anapenda sana kula chakula chake (Rose). ...
READ MORELICHA ya kwamba ni mama mwenye mtoto mkubwa tu, Krish Ndikumana, staa wa Bongo Movies, Irene Uwoya, eti ametamba kwamba,...
READ MOREMwanamama mkali kunano Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson Jujuman ‘Mama Cookie’, ameapa kuzaa mpaka baasi, huku akitanabaisha kuwa, kikubwa anachoangalia...
READ MOREIKIWA ni ni takribani wiki mbili zimepita tangu aliyekuwa mdogo wa marehemu Steven Kanumba, anayeitwa Seth Bosco, afariki dunia...
READ MOREMZAZI mwenziye na staa wa Bongo Fleva, Hamis Baba ‘H Baba,’ Flora Mvungi amefunguka kuwa kati ya ‘scene’ zilizowahi kumtesa...
READ MOREPAMOJA na kwamba aliposepa Bongo na kutimkia mamtoni (Marekani), staa wa Bongo Muvi; Diana Kimari, alisema hawezi kurejea, lakini ukweli...
READ MOREHILI ni pigo kwa waigizaji! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na kampuni maarufu ambayo mastaa wa filamu walikuwa wakifanya nayo kazi,...
READ MOREMSANII mkubwa wa filamu nchini Ghana, Van Vicker, amewasili nchini Tanzania leo saa 10 alfajiri na kupokelewa na mwenyeji wake...
READ MORESTAA wa filamu Bongo, Kajala Masanja ameweka ngumu kumuanika mpenzi wake wa sasa huku akirusha dongo kwa kusema kuwa, wanaotamani...
READ MOREMKONGWE wa Bongo Movies, Mohammed Fungafunga ‘Mzee Jengua’ amefunguka mengi kuhusu maisha yake binafsi na sanaa kwa jumla ikiwemo tukio...
READ MOREMUIGIZAJI mwenye mvuto Bongo Movies, Rose Ndauka amefungukia ukimya wake wa muda mrefu na kusema kuwa majukumu yameongezeka na ndiyo...
READ MOREBAADA ya kuanika mjengo wake aliojenga maeneo ya Majohe, Dar, staa wa muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameibuka...
READ MOREUrban Costa Ndunguru, baba mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo, amefichua siri nzito ya Miss Tanzania...
READ MOREMTOTO wa miaka minne anayefanya vizuri katika fani ya uchekeshaji, Maisara Mohammed ‘Maizumo’ amesema kuwa ndoto yake ya kufanya...
READ MOREMCHEKESHAJI maarufu Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, ameibuka na kufungukia skendo ya kuandaa misiba kisha kuchafuka kwa madai kuwa amechikichia...
READ MOREKIBANO! Ndivyo unaweza kusema kufuatia kitendo alichofanya mwanadada kipenzi wa Watanzania, Wema Isaac Sepetu cha kumzaba vibao mpenzi wake wa...
READ MORESTAA wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ambaye alikuwa akiigiza mara kwa mara na aliyekuwa mkongwe wa filamu, marehemu...
READ MORESIRI ya muigizaji Tausi Mdegela, kuangua kilio kupita kiasi kwenye msiba wa nguli wa vichekesho Bongo, Amri Athuman ‘King Majuto’...
READ MOREUBUYU ukufikie kuwa, harusi ya mwigizaji mkongwe wa filamu za Kibongo, Jimmy Mafufu inatarajiwa kuruka hewani ‘live’ itakapofungwa jijini Dar,...
READ MOREANAITWA Zuwena Mohamed ‘Shilole’, amezaliwa katika familia ya kimasikini huko Igunga, Tabora. Ni mtoto wa mwisho kati ya watoto...
READ MORESTAA wa filamu ambaye pia ni mbunifu wa mavazi, Jacqueline Wolper, amefunguka kuwa kamwe hawezi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi...
READ MORESTAA wa muziki na filamu Bongo, Tiko Hassan ametoa ya moyoni na kueleza kwamba sanaa bila kiki inawezekana japokuwa wasanii...
READ MOREDAR ES SALAAM: Mastaa wahenga Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’ na Vincent Kigosi ‘Ray’ wamefika pabaya baada ya...
READ MOREBAADA ya wikiendi iliyopita nyota njema kumuwakia mwanamitindo na msanii maarufu nchini Jokate Mwegelo kutokana na Rais Dk John Pombe...
READ MOREMSANII wa filamu za Kibongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ ameibuka na kusema hana kinyongo na mdogo wa mwanamuziki Ally Salehe...
READ MORELIKO wazi kwamba siku hizi imekuwa kama fasheni kwa mastaa Bongo hata wasio mastaa kupiga picha za utupu na kuposti...
READ MOREMSANII mwenye mvuto wa aina yake Bongo Muvi, Kajala Masanja amesema hana muda wa kubishana na watu wa mitandaoni kuhusu...
READ MORELEGENDARI wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ amefunguka kuwa asingefanana na mwanaye aitwaye Jaden, angetukanwa sana.Akizungumza na Amani juzikati,...
READ MOREMKALI wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amefunguka kuwa, kitu kikubwa kilichomfanya adumu miaka mingi na mkewe Eva ni...
READ MOREMUIGIZAJI wa Bongo Muvi, Halima Yayaha ‘Davina’ amefunguka kuwa hata kama hajapata bahati ya kukaa na mume muda mrefu kama...
READ MOREBAADA ya kupewa Tuzo ya Msanii Bora wa Kike 2018 zilizokuwa zikitolewa na Sinema Zetu International Film Festival (SZIFF) zilizofanyika...
READ MOREWastara Juma. STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ambaye hivi karibuni alikuwa nchini India kwa matibabu, baada ya kurudi...
READ MOREDAR ES SALAAM: Baada ya miezi kadhaa kupita tangu aamue kuokoka na kuachana na mambo ya kidunia hali iliyosababisha mkewe...
READ MOREMAISHA ni kitu cha ajabu kabisa. Leo mambo yanaweza yakawa mabaya kwa mtu fulani kiasi cha kila mmoja kumuonea...
READ MOREMUIGIZAJI wa filamu, Husna Maulid kwa mara ya kwanza amefungukia uhusiano wake kimapenzi na Mkongo, Mwami Radjab kuwa kwa sasa...
READ MOREBAADA ya habari kuzagaa kwamba mrembo anayeuza nyago kwenye video mbalimbali Bongo, Tunda Sebastian kuwa na ujauzito wa staa...
READ MOREKATIKA ulimwengu wa mastaa wa kike wa kiwanda cha sinema za Kibonngo almaarufu Bongowood, kuna wahusika wake ambao wamewahi kugandwa...
READ MOREMWIGIZAJI maarufu wa kike wa filamu za Bongo anayeitingisha Bongo Movie ambae pia aliwahi kuolewa na mcheza soka kutoka Rwanda,...
READ MORESTAA wa kitambo wa Bongo Movies, Chuchu Hans amefunguka kuwa, baada kupata mtoto aitwaye Jaden na staa mwenzake, Vincent Kigosi...
READ MORENa GLADNESS MALLYA| RISASI MCHANGANYIKO| ZA MOTOMOTO MSANII wa filamu za Kibongo, Jimmy Mafufu amewatolea uvivu waigizaji ambao umri wa...
READ MORE