Tecno Kuzindua Simu Yenye Teknolojia Ya Kisasa Katika Jiji La New York Nchini Marekani
Juni 14, 2022 – Katika mitaa yenye misongano na pilika pilika nyingi ndani ya Jiji la New York, kwenye ghorofa ya 65 kwenye Baa ya Sixty-Five iliyo juu ya Kituo mashuhuri cha Rockefeller Center, TECNO imetangaza mipango ya kuzindua…
