×

Tag: CHADEMA

Mgombea Urais CHADEMA Kupatikana Ndani ya Saa 72

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinaingia siku tatu ngumu za mchakato wa kupata mgombea urais wa Tanzania na Zanzibar...

READ MORE

Jeshi la Polisi Laionya CHADEMA Mapokezi Ya Lissu

JESHI la Polisi Nchini limetoa onyo kali kwa viongozi wanaohamasisha mikusanyiko ya watu isiyo zingatia sheria za nchi na yenye...

READ MORE

Mbowe, Msigwa Wajitoa Urais CHADEMA

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia  na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe  na makada wengine watatu wamejiengua katika kinyang’anyiro cha kuomba kuteuliwa...

READ MORE

Walioshinda Kura za Maoni za Ubunge Chadema

  WASHINDI  wa uchaguzi kwenye kura za maoni za ubunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA) waliopita kwenye...

READ MORE

Chadema: Nyalandu Achukua Fomu Kuwania Urais – Video

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kati, Lazaro Nyalandu, amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea urais...

READ MORE

Nyalandu Amkumbuka Mbowe Walipokuwa Israel – Video

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kati, Lazaro Nyalandu, ameeleza ni kwa namna gani anamfahamu mwenyekiti...

READ MORE

Dkt Majinge Achukua Fomu Chadema Kuwania Urais

LEO Julai 7, 2020, mwanachama wa CHADEMA Dkt Mayrose Majinge, amejitokeza kuchukua fomu ya kuomba uteuzi wa kugombea nafasi ya...

READ MORE

CHADEMA Yakaribisha Kugombea Ambao Hawakutia Nia

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, ametoa rai kwa wanachama wote wa chama hicho, hata...

READ MORE

Misingi No Itaamua Nani Agombee Siyo Lazima Mbowe – Video

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema ndani ya chama hichio, hakuna kanuni inayomzuia mwanachama kutangaza nia ya kugombea nafasi...

READ MORE

Chadema 11 Wajitosa Urais 2020

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo Juni 17, 2020, kimetangaza majina ya Wanachama wake 11 walioomba kuteuliwa na Chama...

READ MORE

Wabunge Watatu Chadema Watimkia CCM

Wabunge watatu wa Viti Maalum (CHADEMA), Dkt. Immaculate Semesi Sware (Kilimanjaro ), Anna Gidarya (Manyara ) na Latifa Chande (Lindi)...

READ MORE

Wabunge 69 wa Mbowe Kuhojiwa TAKUKURU

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, inatarajia kuwahoji wabunge 69 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

READ MORE

Chadema Wamtaja Mch. Mashimo Shambulizi la Mbowe

  DAR ES SALAAM: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kinahitaji uchunguzi wa uhuru katika tukio la kuvamiwa kwa...

READ MORE

Hali ya Mbowe, Chadema Kumhamishia Dar – Video

  JESHI la Polisi Mkoani Dodoma limethibitisha kushambuliwa na kujeruhiwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema usiku wa...

READ MORE

Dr. Mayrose Akemea Mbowe Kushambuliwa

DAR ES SALAAM: KADA wa Chadema ambaye ametangaza nia ya kugombea urais, Mayrose Majinge ameonesha masikitiko yake kufuatia taarifa za...

READ MORE

TAKUKURU Yaanza Kuichunguza CHADEMA

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imeanza kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, inazokikabili Chama cha...

READ MORE

Mwanamke CHADEMA Ajitosa Kupambana na JPM

  Dk. Mayrose Majinge, amekuwa mwanachama wa kwanza wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutangaza nia ya kuomba ridhaa...

READ MORE

Chadema: Wenye Ushahidi Ufujaji Fedha Wauweke Hadharani

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimewataka Wabunge wenye ushahidi juu ya tuhuma za matumizi mabaya ya fedha kuuweka hadharani....

READ MORE

Polepole: Uchaguzi wa 2015 Tulichelewa Kuwakata, Mwaka Huu Mapema – Video

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015, chama...

READ MORE

Mwenyekiti BAVICHA Kortini kwa Tuhuma za Kusambaza Picha za Ngono

  Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), Mkoa wa Kilimanjaro, Lemrus Mchome (30), amefikishwa...

READ MORE

Mbunge Peneza: Kwani Mume Wangu Anaenda Bungeni? – Video

  MBUNGE wa Viti Maalum, Geita, Upendo Peneza (Chadema) amesema kuwa wanaohoji iwapo ameolewa ama la,  hawana haja ya kufanya...

READ MORE

Wabunge CHADEMA Watangaza Kurudi Bungeni Leo

Wabunge wote wa CHADEMA ambao wamehitimisha siku 14 za kujitenga kwa kukaa nyumbani na kutohudhuria shughuli za Bunge, vikiwemo vikao...

READ MORE

CHADEMA Yaanika Sababu Mbowe Kuitwa Polisi

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kupitia kwa Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa chama hicho, Tumaini...

READ MORE

Breaking: Mbowe Atakiwa Kuripoti Polisi, Mkutano Wake Waahirishwa

Jeshi la Polisi leo Mei 14, 2020  limemtaka Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kuripoti kituo cha Polisi Oyster Bay ikiwa...

READ MORE

Ndugai Aagiza Wabunge 15 CHADEMA Wasikanyage Bungeni Kuanzia leo

Spika wa Bunge ameagiza kitengo cha usalama cha Bunge kutowaruhusu wabunge 15 wa CHADEMA kuingia katika maeneo ya Bunge kuanzia...

READ MORE

Lwakatare: Nawapongeza Chadema, Lakini Wangenihoji Kwanza – Video

SAA chache baada ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kuwafuta uanachama wabunge wake wanne, Anthony Komu...

READ MORE

Silinde: Wameahidi Kunishughulikia, Maamuzi ya Kitoto – Video

IKIWa ni muda mfupi baada ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kuwafuta uanachama wabunge wake wanne,...

READ MORE

Wabunge Chadema Watinga Bungeni

Baadhi ya wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameendelea kuhudhuria vikao vya bunge kinyume na agizo la Mwenyekiti...

READ MORE

Wabunge Chadema Wagoma Kurudisha Posho kwa Ndugai

 WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameagizwa kutotii agizo la Job Ndugai, Spika wa Bunge kwamba warejeshe fedha...

READ MORE

Chadema Yawatimua Wabunge Wanne

WABUNGE wanne kati ya 12 ‘walioasi’ uamuzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutohudhuria vikao vya Bunge ili kujiweka...

READ MORE

Cecil Mwambe “Sasa Narejea Bungeni Rasmi” – Video

MBUNGE wa Ndanda kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Cecil Mwambe, amesema kuwa kwa sasa amerejea Bungeni rasmi kumalizia...

READ MORE

Wabunge Chadema Wakaidi Agizo la Mbowe, Watinga Bungeni

WABUNGE watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wapo bungeni leo wakiendelea na kazi ya kuwakilisha wananchi wao bungeni...

READ MORE

Corona: Mbowe Afunguka Mazito “Tunataka Ukweli” – Video

MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Kiongozi Mkuu Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe amesema njia...

READ MORE

Video: Selasini Ajiondoa Chadema, Atimkia NCCR-Mageuzi

MBUNGE wa Rombo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini ametangaza kuachana na chama hicho na kurejea kwenye...

READ MORE

Rufaa ya Mbowe na Wenzake Kuanza Kuunguruma Mei 13

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, inatarajia kuanza kusikiliza rufaa iliyokatwa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na viongozi...

READ MORE

Kumekucha! Zitto, Mdee, Mnyika, Kubenea Upinzani Mkali 2020

JOTO la uchaguzi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), limeanza kupanda baada ya wagombea zaidi ya 72 kujitokeza...

READ MORE

Kubenea Aanika Mazito Asema ‘Bado Nipo Chadema’ – Video

  MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),  amesema licha ya tetesi kusambaa kuwa anataka...

READ MORE

Vilio Vyatawala Mwili wa Makongoro Ukiwasili Kwake – Video

  MWILI wa aliyekuwa mwanasiasa mkongwe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kichama wa Ilala Jijini...

READ MORE

Mdee, Bulaya, Jacob Watuhumiwa kwa Makosa 7

VIONGOZI na wafuasi 27 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiwemo wabunge  watatu:  Halima Mdee (Kawe), Ester Bulaya (Bunda...

READ MORE