×

Tag: CHADEMA

Breaking News: Baba Mzazi wa Profesa Jay Afariki Dunia

MBUNGE wa Mikumi kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),  Joseph Haule (Profesa Jay), amefiwa na baba yake mzazi, Mzee...

READ MORE

LOWASSA Awavaa CCM, “Hata Mje 100 Nitawanyoosha” – Video

WAZIRI Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa sambamba na Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini,...

READ MORE

Ngalya: Hivi Chadema Mtahesabu Kura Zipi – Video

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimezindua kampeni zake za uchanguzi mdogo wa udiwani katika Kata ya Kizota Jijini Dodoma, baada ya...

READ MORE

Madiwani Wengine Wawili CHADEMA Watimkia CCM

KIMBUNGA cha madiwani na wabunge kuhama hasa vyama vya upinzani na kwenda Chama Cha Mapinduzi (CCM),  kimeendelea ambapo jana usiku...

READ MORE

Baada ya Kumpakazia Mazito, Ridhiwani Awatolea Uvivu Chadema

IKIWA ni muda mfupi baada ya akaunti za Instagram yenye jina la chadema_in_blood  kuchapisha taarifa kwamba Mbunge wa Chalinze (CCM)...

READ MORE

MBOWE: Waliomuua Akwilina Wapo, Mnataka Kutufunga, Hatuogopi – Video

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Taifa (Chadema), Freeman Mbowe, amefafanua kuhusu kinachoendelea juu ya kesi inayomkabili yeye na...

READ MORE

WAKILI AJITOA KESI YA MBOWE NA WENZAKE

WAKILI Jeremiah Mtobesya aliyekuwa akiwawakilisha Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na viongozi wenzake nane wa chama...

READ MORE

Rufaa ya Chadema Korogwe Yapokelewa

Rufaa ya mgombea Ubunge wa Jimbo la Korogwe (Chadema), Amina Saguti imepokewa jana na Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi Wilaya ya...

READ MORE

Diwani Mwingine wa Mbowe Atimkia CCM – Video

Diwani wa Chadema Kata ya Masama Rundugai, katika jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, Elibariki Mbise, amejiuzulu uanachama na udiwani wake...

READ MORE

Tanga: Mgombea wa CHADEMA Nusura Aporwe Fomu

Mapema majira ya saa tano leo Jumatatu, Agosti 20, 2018, Mgombea Ubunge Jimbo la Korogwe Amina Ally Saguti akisindikizwa na...

READ MORE

Chadema Yateua Wagombea Ubunge, Ukonga, Korogwe na Monduli

  Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), kimetangaza majina ya wagombea wake watakaowania ubunge katika majimbo ya Ukonga, Korogwe Vijijini...

READ MORE

BREAKING: CCM Yakanusha Kumpitisha Kalanga Monduli – Video

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Loata Sanare amesema kuwa chama hicho bado hakijampitisha Julius Kalanga (aliyetoka...

READ MORE

Prof. Chiza Akabidhiwa Hati ya Ushindi Ubunge Buyungu

MBUNGE mteule wa Jimbo la Buyungu, Kakonko mkoani Kigoma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Prof. Christopher Chiza Kajoro aamepokea hati...

READ MORE

NAPE: ZITTO WAJUA NAKUHESHIMU?

KUFUATIA Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe kuweka mtandaoni matokeo ya awali ya Ubunge wa Jimbo la Buyungu, Kakonko mkoani...

READ MORE

Kigogo Mwingine Jimboni kwa Lowassa Atimkia CCM

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Monduli ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Monduli Mjini (pichani kushoto), Isack Joseph amejiuzulu nafasi...

READ MORE

Mtoto wa Lowassa Ajitosa Ubunge Monduli

MTOTO wa aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, Fred Lowassa, ni miongoni mwa wanachama watano wa CHADEMA waliochukua fomu za...

READ MORE

Mbunge Matiko na Wenzake Waachiwa kwa Dhamana

MBUNGE wa Jimbo la Tarime Mjini (Chadema), Ester Matiko, mwandishi wa habari wa Gazeti la Tanzania Daima, Sitta Tuma na...

READ MORE

Baada ya Kusepa Chadema, Waitara Achukua Fomu Kuwania Ubunge CCM

ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam, Mwita Mwikabe Waitara aliyetangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kuhama kutoka...

READ MORE

KALANGA Awajibu CCM Walioandamana Monduli – Video

Kufuatia maandamano yaliyofanywa jana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilayani Monduli mkoani Arusha wakimtaka Mwenyekiti wa chama hicho...

READ MORE

CCM Monduli Waandamana Kupinga Mbunge Aliyetoka CHADEMA

WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Monduli wameandamana kwenye ofisi za chama hicho wakitaka aliyekuwa Mbunge wa Chama...

READ MORE

MAHAKAMA YAMPA ONYO MWENYEKITI WA CHADEMA, FREEMAN MBOWE

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imempa onyo  Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe kwa kutohudhuria mahakamani...

READ MORE

Mbunge Wa Monduli Chadema Ajiuzulu Na Kuhamia CCM

Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga  Laizer, kupitia Chadema, leo amejivua uanachama wa Chadema, amejiuzulu nafasi yake ya Ubunge na...

READ MORE

Breaking News: MBUNGE Mwita Waitara (Chadema) Ahamia CCM – Video

MBUNGE wa Chadema Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara amekihama chama hicho na kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM). Waitara amesema sababu...

READ MORE

Naibu Meya, Madiwani CHADEMA Wajiuzulu Mbeya

IKIWA ni saa chache baada ya uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Mbeya kupendekeza kuwavua uanachama madiwani...

READ MORE

Kesi ya Mbowe na Vigogo Wengine CHADEMA

Kesi inayowakabili inayomkabiri Mwenyekiti wa wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake tisa ya kufanya mikusanyiko na maandamano yasiyo halali, imeshindwa kuendelea...

READ MORE

CHADEMA: CCM Wanavuruga, TAIFA Litakatika, Hakuna UCHAGUZI – Video

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelalamikia kuwepo kwa barua ya kugushi inayoashiria kuvuruga uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika august 12...

READ MORE

MBOWE ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI

IKIWA ni takribani saa 24 tangu alazwe katika Hospitali ya Taifa Kitenngo cha Dharula, Afya ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman...

READ MORE

Lembeli Atangaza Kurejea CCM

Mbunge wa zamani wa Kahama, James Lembeli ametangaza kurejea CCM. Ametangaza uamuzi huo leo Juni 13, 2018 muda mfupi baada...

READ MORE

UPINZANI WAWATAKA KKKT, KANISA KATOLIKI KUTOIJIBU SERIKALI – VIDEO

  WABUNGE wa upinzani wamewataka viongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) na Kanisa Katoliki kutoijibu serikali kuhusu...

READ MORE

SILINDE: Maprofesa Wengi Wemefeli, Hii Ndio Changamoto – Video

MBUNGE wa Momba kwa tiketi ya CHADEMA , Silinde Ernest David, akichangia hoja katika mjadala wa kupitisha bajeti ya Wizara...

READ MORE

Simanzi Yatawala Mazishi ya Bilago, Kigoma – Pichaz

  SIMANZI na majonzi vimetawala wakati wa mazishi ya mwili wa aliyekuwa mbunge wa Buyungu (Chadema), Kasuku Samson Bilago aliyezikwa...

READ MORE

PROF JAY Amzungumzia Marehemu Bilago – Video

KUFUATIA kifo cha Mbunge wa Buyungu, wilayani Kakonko, Kigoma (CHADEMA), Kasuku Samson Bilago, mbunge wa Mikumi, Joseph Haule ‘Profesa Jay’...

READ MORE

MWILI WA BILAGO WATOLEWA MUHIMBILI NA KUPELEKWA KARIMJEE

MWILI wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Buyungu Kigoma (CHADEMA), Kasuku Bilago umetolea katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na...

READ MORE

SILINDE: Trilioni 1.1 Lazima Zirudi, Hatukubali – Video

Mbunge wa Momba (Chadema), David Silinde, akizungumza bungeni alipokuwa akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini iliyowasilishwa...

READ MORE

NAPE KALIPUKA: Sipendi Kusifia Watu Mkifanya Vibaya Tutasema – Video

MSIKIE Mbunge wa Jimbo la Mtama (CCM) Nape Nnauye, akizungumza bungeni alipokuwa akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Nishati...

READ MORE

Kimenuka: Viongozi Wawili Chadema Wavuliwa Uanachama

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimewavua uanachama viongozi wake wawili ambao ni aliyekua Naibu Katibu Mkuu Bara, Getrude Ndibalema...

READ MORE

SUZAN MAKENE: Wengine Wamekufa kwa Presha, Huu ni Uonevu – Video

MSIKIE Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Suzan Makene, akichangia hoja katika bajeti ya wizara ya Mifugo na Uvuvi, iliyowasilishwa Bungeni...

READ MORE

Kibatala Aiomba Mahakama Ifute Mashtaka Kesi ya Mbowe na Wenzake

Upande wa utetezi katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe, umeomba...

READ MORE

Kesi ya Mbowe na Wenzake Yaanza Kuunguruma Kisutu (Video)

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imeanza kusikiliza kesi dhidi ya Mbowe na viongozi wenzake wa Chama cha Demokrasia na...

READ MORE

Magereza: Rais Magufuli Ndiye Amemtoa Jela Sugu

JESHI la Magereza nchini limesema kuwa, Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa CHADEMA Kanda ya...

READ MORE