The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

chuchu hans

Chuchu, Ray Ndo Basi Tena!

MSANII wa filamu za Kibongo, Chuchu Hans amesema kuzaa na msanii mwenzake Vincent Kigosi ‘Ray’ isiwe tabu na kuanza kumjulisha kila kinachoendelea katika maisha yake na kumtaka mengine ajionee sapraizi. Wasanii hao…

Chuchu: Hakuna Ndoa Bongo Muvi

MWIGIZAJI wa Bongo Muvi, Chuchu Hans amesema, ndoa za kweli hajaziona kwa mastaa hususan wanaotokea Bongo Muvi na ndiyo maana hana papara ya kuolewa. Akizungumza na Risasi Jumamosi, Chuchu amesema, watu wengi ambao ni mastaa…

TESSY AFUNGUKIA KUPIGWA NA CHUCHU

MZAZI mwenzake na msanii wa Bongo Fleva, Aslay Isihaka, Tessy Chocolate amefunguka kwamba katika maisha yake hakuna mtu amewahi kumpiga zaidi ya mama yake mzazi, hivyo tetesi zinazosambaa mitandaoni kuwa amepigwa na msanii wa Bongo…

Chuchu Ataja Anachotaka Ray

BAADA ya kumzalia mtoto wa kiume na kuwa gumzo mitandaoni, muigizaji mkongwe wa filamu Bongo, Chuchu Hans amefungukia zawadi aitakayo kutoka kwa mzazi mwenziye ambaye naye ni msanii, Vincent Kigosi ‘Ray’ kuwa ni busu tu. …

Johari, Chuchu Kimenuka Tena!

Na Mwandishi Wetu | RISASI JUMAMOSI  | DAR ES SALAAM Warembo wa Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’ na Chuchu Hans wamedaiwa kuwa wametibuana vibaya kufuatia Chuchu kumchokonoa Johari mitandaoni kuhusu jina la Kampuni ya RJ,…