Tamsha la Fiesta Kufanyika Dar Mwezi Huu
MKURUGENZI Mtendaji wa Clouds Media, Joseph Kusaga, kupitia kipindi cha Clouds 360 leo, amedhibitisha taarifa za kurudiwa kwa tamasha la Tigo Fiesta kabla ya mwaka huu kwisha.
Kusaga ameyasema hayo wakati wa kuadhimisha mwaka wa 19…
