
Browsing Tag
CORONA
Corona Yasalimu Amri Afrika
Kwa mara ya kwanza tangu kutangazwa kwa mlipuko wa virusi vya Omicron, Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) limesema idadi ya maambukizi mapya ya COVID-19 Afrika imepungua na hivyo basi kuleta matumaini miongoni mwa Wanasayansi.
…
Roman Reigns Akutwa na Corona
Bingwa wa Mkanda wa World Wrestling Entertainment (WWE)Universal Championship, Roman Reigns amekutwa na maambukizi ya UVIKO-19 hivyo kuondolewa kwenye game ya WWE Day One PPV iliyofanyika usiku wa jana State Farm Arena huko Atlanta,…
Wachezaji 11 wa Tanzanite Wakutwa na Corona
Shirikisho la Soka la Tanzania limeripoti kuwa wachezaji 11 wa Timu ya Taifa ya wanawake wenye umri wa chini ya miaka 20 'Tanzanite' na viongozi watano wa benchi la ufundi wamekutwa na maambukizi ya Virusi vya Corona hivyo kikosi…
Zitto Kabwe Akutwa na Covid-19
Kiongozi Mkuu wa ACT - Wazalendo, Zitto Kabwe amesema alipimwa na kukutwa Virusi vya Corona (COVID 19) baada ya kupatwa na Mafua.
Zitto anasema "Chanjo imesaidia kutopata madhara makubwa. Nimekaa eneo tengwa (isolation) ili…
Sehena ya Dozi 499,590 za Pfizer Yatua Tanzania
Serikali ya Tanzania imesema leo Novemba 23, 2021 Tamzania imepokea Dozi 499,590 za Pfizer kutoka nchini Marekani ambazo zitakinga Watanzania 249,795 (dozi mbili), Chanjo hizi za Pfizer ni kama zilivyokuwa za Janssen na Sinopharm…
Watanzania 725 Wafariki kwa Corona – Video
WATANZANIA 725 wamefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Uviko-19 tangu ulipoingia nchini mapema mwaka jana. Idadi hiyo ni kati ya watu 26,164 waliothibitika kuwa na maambukizi ya ugonjwa huo kati ya hao 25, 330 walipona.
…
Shehena Nyingine ya Chanjo Kutua Nchini Soon
Serikali ya Tanzania inatarajia kupokea Shehena ya pili ya chanjo ya Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO 19) aina ya Sinopharm itakayowasili nchini Oktoba 8 mwaka huu, na kufanya idadi ya chanjo hiyo kuongezeka na…
Jela Mitano kwa Kusambaza Virusi vya Corona
Mwanaume mmoja huko Vietnamese amehukumiwa kifungo cha miaka mitano gerezani kwa kosa la kukiuka masharti dhidi ya kujikinga na Covid-19 na kusambaza virusi vya corona.
Mahakama imemkuta na hatia bwana Le Van Tri kwa…
Mwanamke Afariki Baada ya Kupata Chanjo ya Pfizer
SERIKALI ya New Zealand imeripoti kile inachoamini kuwa kifo cha kwanza kinachohusisha chanjo ya corona ya Pfizer. Bodi huru inayosimamia usalama wa chanjo nchini humo imesema kifo cha mwanamke huyo huenda kimesababishwa na na maumivu…
Askofu Ruwai’chi: Naagiza Mapadri Wote Dar Lazima Mkachanjwe, Tuache Utoto
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Yuda Tadheus Ruwai’chi amewaagiza mapadre wote wa jimbo hilo kupata chanjo ya ugonjwa wa Corona .
Askofu Ruwa’ichi ametoa wito huo leo Jumanne, tarehe 24 Agosti 2021,…
Dk Gwajima: Eti Mimi Kigeugeu, Ninabadilika Badilika? Hili Agano Jipya
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk. Doroth Gwajima amesema hakuna kilichobadilika kutoka awamu ya tano kuja awamu ya sita ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kupambana na janga la corona.…
IGP Sirro: Hatujapa Taarifa Rasmi Ili Kumkamata Gwajima
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema Jeshi la Polisi linaendeshwa kwa maandishi hivyo wanasubiri barua kutoka kwa Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima.
Maelekezo ya Waziri kutaka Jeshi la Polisi kumkamata…
Breaking: Serikali Yaagiza Askofu Gwajima Akamatwe
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Doroth Gwajima ameliagiza Jeshi la Polisi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) kumkamata na kumhoji Mbunge wa Kawe na Askofu wa Kanisa la Ufufuo…
Dk. Mollel: Tutamshugulikia Mch. Gwajima – Video
Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Siha, Mhe. Dkt. Godwin Mollel amemtaka Mbunge wa Kawe na Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kujitafakari juu ya madhara yatakayo wakuta wananchi kutokana na upotoshaji…
Gwajima: Nipo Tayari Kuachia Ubunge, Sio Kuchanja
ASKOFU Mkuu wa kanisa la Ufufuo na Uzima lenye Mako Makuu yake, Ubungo Maji jijini dar es Salaam ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Kawe (CCM), Josephat Gwajima ameendelea na msimamo wake na waumini wake kuwa kutochanjwa chanjo ya corona…
CNN Yawafuta Kazi Wafanyakazi Wake Ambao Hawajachanjwa
Shirika la habari nchini Marekani CNN limewafuta kazi wafanyikazi wake watatu kwa kwenda ofisini bila kupewa chanjo dhidi ya Covid, vyombo vya habari vya Marekani vinasema.
Ni moja wapo ya mifano ya kwanza ya wafanyikazi wa…
Gwajima: Nilishasema Sichanjwi
Mbunge wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dkt. Josephat Gwajima amekanusha taarifa zinasombaa mitandaoni kuwa amechomwa chanjo ya corona.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram,…
Delta Imeongeza Maambukizi ya Corona Duniani
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema Maambukizi ya virusi vya Corona yanaongezeka kutokana na Virusi aina ya Delta.
Ghebreyesus amesema Visa vipya milioni 4 vya COVID19…
Asilimia 60 ya Watanzania Kuchanjwa, Watakaoanza ni Hawa
Msemaji Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Gerson Msigwa amesema kuwa chanjo za homa ya virusi vya corona inayosababisha homa ya mapafu zilizoletwa nchini zinakidhi asilimia 20 ya idadi ya wananchi wote wa Tanzania…
Serikali Yasitisha Matamasha, Ibada za Mazishi Dakika 30
Serikali ya Tanzania imesitisha rasmi matamasha, sherehe na mikusanyiko na masharti kwa watakaolazimika kuwa na kibali maalumu kutoka kamati maalum ya Mkoa husika.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi ameagiza…
Mikoa 10 Kipaumbele Chanjo Corona
SERIKALI imepokea msaada wa chanjo ya Corona kutoka Marekani na kueleza kuwa baada ya kujiridhisha kuwa ni salama utolewaji wake utafanyika nchi nzima lakini kwa kuanza na mikoa 10 ya kipaumbele. Mikoa hiyo ya kipaumbele ni Dar es…
Serikali: Saluni Ziwapime Wateja Joto la Mwili
WAMILIKI wa Saluni na vinyozi wanatakiwa kuwa na vifaa vya unawaji mikono nje ya saluni ambapo kila atakayeingia katika eneo hilo atahitajika kunawa mikono au kutumia vitakasa mikono.
Hakikisha uwepo wa taulo za kutosha…
Wagonjwa 29 Wafa kwa Covid-19 Tanzania
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima amesema hadi sasa jumla ya watu 29 wamefariki dunia kutokana na wimbi la tatu la Covid-19 huku jana Julai 22, 2021 pekee kulikuwa na jumla ya wagonjwa…
Kirusi Delta Chaua Waliochanjwa Corona
WATU 259 wamefariki dunia nchini Uingereza kutokana na aina mpya ya kirusi cha corona kiitwacho DELTA. Kwa mujibu wa @DW_Kiswahili, watu 116 kati ya waliofariki walikuwa wamepata chanjo kamili ya corona na hilo ndilo lililozua maswali…
Kirusi Kipya cha Corona “Delta” Chaua 116 Waliochanjwa
WATU 259 wamefariki dunia nchini Uingereza kutokana na aina mpya ya kirusi cha corona kiitwacho DELTA.
Kwa mujibu wa @DW_Kiswahili, watu 116 kati ya waliofariki walikuwa wamepata chanjo kamili ya corona na hilo ndilo lililozua…
Mbowe Ataka Chanjo ya Corona Iwe Lazima kwa Watanzania Wote
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe leo Jumatatu, Julai 19, 2021 ameongea na Waandishi wa Habari Jijini Mwanza kuhusu Polisi kuzuia kongamano lililoandaliwa na Baraza la Vijana CHADEMA…
Ufaransa Waandamana Kupinga Chanjo ya Corona
ZAIDI ya watu laki moja wameandamana kote Ufaransa kupinga hatua za hivi karibuni za serikali za kuwashinikiza watu kwenda kuchanjwa. Serikali inalenga kuzuia maambukizi ya virusi vipya aina ya Delta vinavyo sambaa haraka.
…
Tanzania Kuanza na Chanjo Nne za Corona
WAKATI shehena ya chanjo za aina nne ikiwa njiani, Serikali imebainisha makundi yatakayoanza kukingwa maambukizi ya virusi vya corona.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Profesa Abel Makubi alipohojiwa na kituo cha runinga cha…
Waandamanaji Afrika Kusini Wapora Chanjo za Covid
Mamlaka ya Usimamizi wa Maduka ya Madawa Afrika Kusini (SACP), imeelezwa kusikitishwa kwake na vitendo vya waandamanaji nchini Afrika Kusini, kuvunja maduka ya madawa na kupora chanjo za Corona katika Majimbo ya Gauteng na Kwa Zulu…
Kirusi cha Corona Aina ya Delta Kinatajwa Kuwa ni Hatari
MKURUGENZI wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus, ameonya kwamba ulimwengu uko katika “kipindi hatari” cha janga la COVID-19. Hii ni kutokana na virusi sugu aina ya Delta vinavyozidi kubadilika na kufanya mambo…
Wagonjwa 50 wa Corona Wafariki kwa Moto
Zaidi ya watu 50 wamekufa baada ya moto kuzuka katika wodi ya wagonjwa wa Corona katika hospitali nchini Iraq. Moto katika hospitali ya Al-Hussein kusini mwa mji wa Nasiriya ulidhibitiwa mwishoni mwa Jumatatu. Sababu ya moto haijulikani…
Zanzibar Yaanza Kutoa Chanjo ya Corona
Wahudumu wa afya visiwani Zanzibar wameanza kupokea dozi ya kwanza ya chanjo ya covid-19. Serikali ya Zanzibar imethibitisha kuwa dozi za Sinocav kutoka nchini China zimeanza kutolewa kwa awamu ya kwanza huku awamu ya pili ikitarajiwa…
Amnyonga Mwanaye Kisa Fedha za Corona
Raia mmoja katika Wilaya ya Kalaki nchini Uganda (35), anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la kumnyonga hadi kufa mwanaye mwenye umri wa miezi tisa baada ya kukosa kupokea msaada wa Sh 100,000 kwa watu wasiojiweza wa kujikidhi…
Shinyanga Yakanusha Kuzidiwa na Wagonjwa wa Corona
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Dkt. Philemon Sengati, amekanusha uvumi uliosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, kuwa mkoa huo ume zidiwa na wagonjwa wa COVID-19 na una upungufu wa mitungi ya Oksijeni na kuitaka jamii kuupuuza uzushi huo.…
Kigoma Ina Wagonjwa 12 wa Corona
HABARI: Mkoa wa Kigoma umeripotiwa kuwa na wagonjwa 12 wa Corona ambapo wengine wamejitenga majumbani na wengine wanaendelea kupatiwa matibabu katika vituo vilivyoandaliwa maalumu kwa ajili ya kulazwa wenye Corona.
Akisoma…
Rais Samia Ataja Mikoa Yenye Wagonjwa wa Corona – Video
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema wimbi la tatu la ugonjwa wa corona limeshaingia nchini na tayari kuna wagonjwa katika mikoa kadhaa mikubwa huku akiwataka wananchi kuchukua tahadhari kujikinga na ugonjwa huo ili usiangamize maisha yao.…
Serikali Yatoa Mwongozo Mpya Kupambana Na Corona
Serikali kupitia Wizara ya Afya imewataka wananchi kuendelea kujikinga na Corona kwa kufuata maelekezo ya wataalamu wa afya ikiwemo kuvaa barakoa kwenye ofisi zote za serikali, shule na taasisi mbalimbali ikiwemo hospitali.
Muongozo…
Kiwanda cha Chanjo ya Corona Kutengenezwa Nchini
SERIKALI imeanza mchakato wa kutengeneza chanjo ya Virusi vya Corona hapa nchini ili kupunguza gharama ya kuagiza nje ya nchi na kuzifanya ziwe karibu na wananchi.
Akizungumza Jijini Dodoma Katibu Mkuu, Wizara ya Afya-…