Kocha wa Makipa Aipa Mkono wa Kwaheri Simba
Aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba, Daniel Cadena
Aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba, Daniel Cadena ameipa mkono wa kwaheri klabu hiyo huku akieleza kuwa ulikuwa ni wakati mzuri kuhudumu ndani ya viunga vya Wekundu hao wa Msimbazi.…
