Dkt. Mayala ashusha nondo 5 za kiongozi bora
MTAALAM wa ushauri wa mambo ya uongozi, utawala na menejimenti, Mchungaji Dk. Joseph Mayala, ametaja mambo matano ambayo kiongozi anatakiwa kuwa nayo ili kufikia malengo ya taasisi au jamii anayoiongoza.
Akizungumza katika…
