×

Tag: DC Makonda

Video: Rc. Makonda ‘Anusa Viashiria’ Silaha Za Kibaiolojia Tanzania

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amewataka wachimbaji wa madini nchini kushirikiana na Rais Magufuli katika vita...

READ MORE

Bongo Zozo Ampiga Tafu RC Makonda, Amkabidhi Paundi 300 – Video

Shabiki wa Taifa Stars, Bongo zozo  Novemba 16, 2019 amefika Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda...

READ MORE

MAKONDA KUWAWEKA KIKAANGONI WATENDAJI WALIOKWAMISHA MIRADI

Mkuu wa Mkoa wa Dar ea salaam Mhe. Paul Makonda amehitisha kikao baina yake na watendaji wa Mkoa huo wakiwemo...

READ MORE

Makonda azuia Yondani, Nyoni kustaafu Stars

MWENYEKITI wa Hamasa wa Taifa Stars kwenye michuano ya Afcon, Paul Makonda amesitisha mipango ya wachezaji wakongwe Kelvin Yondani na...

READ MORE

MAKONDA AMWAGA MACHOZI HADHARANI AKIFANYIWA MAOMBI – VIDEO

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, leo Jumapili ya Novemba 04, amejikuta akimwaga machozi mbele ya madhabahu...

READ MORE

RC Makonda: Tulieni Polisi Wanafanyia Kazi Utekaji wa Mo Dewji

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewaomba wakazi wa Dar es Salaam kutulia wakati huu kuhusu kutekwa...

READ MORE

BREAKING: RC MAKONDA Awaweka Mtu Kati Matapeli – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo Septemba 25, amekutana na watu wa Mabenki na madalali ambao...

READ MORE

Paul Makonda Aongoza Kumzika Bi Sarah Kibonde Dar (Picha + Video)

 MKE wa Mtangazaji wa Clouds Media, Ephraim Kibonde, Bi Sarah Kibonde, amezikwa leo katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar...

READ MORE

Polisi Dar  wakabidhiwa Tani 60 za saruji

    POLISI Mkoa wa Dar es Salaam wamekabidhiwa Tani 60 za mifuko ya Saruji kutoka kwa Mkuu wa Mkoa...

READ MORE

MAKONDA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA AFRICANA-KINZUDI

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda  ameweka jiwe la msingi kuashiria kuanza kwa  ujenzi wa Barabara ya...

READ MORE

MAKONDA AVAMIA MABONDENI KIBURUGWA, AWATAKA WAHAME MARA MOJA

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo amevamia mabondeni Kiburugwa, Kilungule na maeneo mengine kwa ajili ya...

READ MORE

WAKANDARASI DAR WAMUUNGA MKONO MAKONDA KUJENGA MITARO

ZAIDI ya Kampuni 70 za ukandarasi zimejitolea kujenga mitaro ya barabara mbalimbali za jijini Dar es Salaam bure kama sehemu...

READ MORE

RC MAKONDA AWAPATIA WATOTO 2971 BIMA YA AFYA

IKIWA  leo ni siku ya 15 tangu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda atangaze kuwasaidia watoto waliotelekezwa...

READ MORE

MAKONDA: UKIMPA UJAUZITO MWANAMKE DAR UJIPANGE

  JOPO la Wataalamu kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Maofisa Ustawi wa Jamii, Wanasheria pamoja na askari Polisi...

READ MORE

WATANZANIA WA MAREKANI WACHANGIA MRADI OFISI ZA WALIMU

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  amepokea makontena ishirini kutoka kwa Watanzania waishio Marekani yakiwa na...

READ MORE

PICHAZ: RC MAKONDA AKITATUA KERO ZA WANANCHI DAR

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemuagiza Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,...

READ MORE

Makonda Aanza Kusikiliza Kero za Waliodhulumiwa Nyumba – Video

MKUU wa Mkoa wa Dares Salaam, Paul Makonda, leo ameanza kusikiliza kero mbalimbali zinazohusu masuala ya migogoro ya ardhi  na...

READ MORE

MAKONDA AMWAGA MACHOZI MBELE YA FAMILIA ILIYOTAPELIWA NYUMBA  

Mkuu wa  Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto) akiambatana na wanafamilia inayodaiwa kutapeliwa nyumba yao baada ya kuwatembelea ...

READ MORE

Halotel Yatoa Mil. 50, Kuunga Mkono Juhudi za Makonda

  KAMPUNI ya mawasiliano ya simu za mkononi ya Halotel, imeunga mkono juhudi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es...

READ MORE

Wema Kukutana na Makonda…Steve Nyerere Abwatuka!

  Siku tatu baada ya muigizaji maarufu wa filamu, Wema Sepetu kumuangukia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul...

READ MORE

Mkuu wa Mkoa Dar Amtia Moyo Lulu!

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  leo ameposti kupitia account yake ya Instagram ujumbe wa kumpa moyo...

READ MORE

Makonda Azindua Viwanda Vidogo Karakana Mwananyamala Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amezitaka manispaa za jijini Dar es Salaam kutengeneza mazingira rafiki kwa...

READ MORE

Mwakyembe Aongoza Mazishi ya Rweyemamu

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harisson Mwakyembe leo aliongoza mazishi ya aliyekuwa mwanahabari nguli nchini, Muhingo Rweyemamu...

READ MORE

Makonda: Tandale Kufidiwa Ujenzi wa Barabara Mpya (Video)

Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda leo amesema barabara ya Sinza –Tandale itajengwa kisasa, wananchi walio pembeni watafidiwa.

READ MORE

RC Makonda Akutana na Kamanda Mpya wa Kanda Maalumu ya Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda leo amefanya Mazungumzo na Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar...

READ MORE

MAKONDA AWAPA TBC NOAH, PIKIPIKI NA KOMPYUTA

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, leo ametoa msaada wa gari aina ya Noah, pikipiki tatu, kompyuta...

READ MORE

Makonda: Marufuku Watendaji Wa Dar Kutoka Nje Ya Mkoa

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo amepiga marufuku watendaji wa serikali wa mkoa huo kutoka nje...

READ MORE

Wanajeshi wa China, Wamtembelea Mkuu wa Mkoa Dar (VIDEO)

VIONGOZI  wa jeshi la China leo wamemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ambapo amewaomba kumsaidia kuwapatia...

READ MORE

Mastaa Wafunguka Ruge, Makonda Kupatana!

MWISHONI mwa wiki iliyopita, Rais Dk John Pombe Magufuli ‘JPM’ akiwa mkoani Tanga kwenye hafla ya uzinduzi wa bomba la...

READ MORE

Utoaji Tinted Magari: Paul Makonda Atengua Agizo la Polisi Dar

“Nasitisha zoezi lililotolewa na polisi Mkoa wa Dsm la kuondoa tinted lililopangwa kuanza kesho hadi nitakapopewa na polisi hoja za...

READ MORE

Makonda, Ruge Walivyocheza na Wasanii Jukwaani, Tanga

Rais Magufuli Amaliza Bifu la Makonda na Ruge Jukwaani

READ MORE

Gwajima Azidi Kukomaa na Vyeti vya Makonda

Na MWANDISHI WETU| IJUMAA WIKIENDA| HABARI DAR ES SALAAM: Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima lenye makao yake makuu...

READ MORE

Mambo 6 Yanayomponza Paul Makonda

DAR ES SALAAM: Bado Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (36) anaendelea kutajwa kwenye vinywa vya Watanzania...

READ MORE

Makonda Awajibu Wanaomtuhumu Mkewe

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewajibu wote wanaosema katika mitandao ya kijamii, kuwa mkewe si raia...

READ MORE

Makonda: Mafanikio Vita Dhidi ya Madawa ya Kulevya Yaonekana

MKUU  wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema kelele zinazoendelea dhidi yake ni dalili za mafanikio katika vita...

READ MORE

Dc Aagiza Afisa Uthamini Kukamatwa, Kisa Kuzima Simu

Na MWANDISHI WETU|IJUMAA WIKIENDA| HABARI DAR ES SALAAM: Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Dar (DC), Ally Hapi ameagiza Jeshi la...

READ MORE

Vijana Msiache Sifa ya Ujasiri Iwe ya Paul Makonda Peke Yake

HADITHI: Na Eric Shigongo | IJUMAA WIKIENDA| KUMBUKUMBU ZA KWELI ZA MAISHA YANGU ILIKUWA ni wiki ya hekaheka, vyombo vyote...

READ MORE

Raza Amuunga Mkono Rais Magufuli Vita Dhidi ya Matumizi ya Madawa ya Kulevya

MWAKILISHI wa Jimbo la Uzini Zanzibar Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja Mhe Mohammed Raza, leo amezunguamza na waandishi...

READ MORE