Kocha wa Simba Zoran Humwambii Kitu kwa Mzungu Simba Dejan Georgejevic
KOCHA wa Simba, Zoran Maki, amesema kuwa mashabiki wa timu hiyo wasiwe na haraka na uwezo wa mshambuliaji wa timu hiyo, Dejan Georgejevic, kwani tayari ameshaanza kuwaonyesha ubora wake wa kufunga ndani ya timu hiyo.
…
