×

Tag: Diamond

Zahera: Simpendi Diamond Ni Mjanjamjanja

SI kwenye soka pekee hata kwenye muziki yumo, Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, amesema kuwa huwa hapendi kusikiliza ny­imbo...

READ MORE

Kwa Hili ‘TUSI’ la Zari kwa Diamond, Wamefika Pabaya

MJASIRIAMALI maarufu Afrika Mashariki na Kati, Zarina Hassan maarufu kwa jina la Zari The Bossy Lady,  ameibua maswali baada ya...

READ MORE

EXCLUSIVE: DIAMOND Amewasaini Navykenzo? – VIDEO

KUNDI la Navy Kenzo ambalo kwa sasa linafanya vizuri na wimbo wao mpya ‘Katika’ ambao wamemshirikisha Diamond Platnumz limeeleza ilivyokuwa...

READ MORE

Lynn: Sasa Nipo Tayari Kuolewa na DIAMOND – Video

Video Queen maarufu nchini Tanzania, Lynn amesema kuwa yupo tayari kuolewa na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz...

READ MORE

Hawa: Diamond Mungu Atakulipa

MSANII wa muziki ambaye aliwahi kuwa mwandani wa Mbongo- Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Hawa Mayoka ‘Hawa wa Nitarejea’ amemfungukia...

READ MORE

CHEMICAL: Siwezi Kumfuata Diamond, Mwenyewe Ataona – Video

RAPA wa kike Claudia Lubao ‘Chemical‘ amesema kuwa amewahi kuwaza kufanya kazi na msanii Diamond Platnumz lakini hawezi kumfata kumuomba...

READ MORE

Video Mpya ya Navy Kenzo ft. Diamond Platnumz (Katika) Yatikisa

Kundi la muziki wa Bongo Fleva, Navy Kenzo linaloundwa na Aika na mpenzi wake, Nahreel wameachia video ya wimbo wao...

READ MORE

Diamond Atuma Ujumbe Mzito Kwa Zari

  MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Naseeb Abdul ‘Diamond Plutnumz’, usiku wa kuamkia leo amemwandikia mzazi mwenzie,  Zarinah Hassan...

READ MORE

EXCLUSIVE: MOBETO Afunguka Kumroga DIAMOND – Video

Mwanamitindo maarufu Bongo ambaye kwa sasa amejitumbukiza kwenye muziki, Hamisa Mobeto, amepiga stori na Global TV na kufunguka kuhusiana na...

READ MORE

Diamond Platnumz: Zari Ni Hodari Wa Mapenzi

  STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amekuwa kivutio kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuimba kipande cha...

READ MORE

UNDANI, UKWELI SUMU YA DIMPOZ DIAMOND, KIBA HATARINI !

Sumu anayodaiwa kunyweshwa staa wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kwenye kinywaji imeibua hatari iliyopo kwa mastaa wengine Bongo...

READ MORE

WEMA, MOBETO HAPATOSHI

VITA imekolea! Ni kati ya mwanadada Wema Isaac Sepetu na mwanamama Hamisa Hassan Mobeto ambapo hapatoshi kiasi cha baba wa...

READ MORE

MACHOZI ya Baba: Diamond Aninunulie Nyumba, Gari ni Vitu Vidogo tu – Video

BABA mzazi wa Msanii wa Bondo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Plantnumz’, Mzee Abdul Juma amemuomba mwanaye huyo amnunulie nyumba ili...

READ MORE

Halima Mdee Avuruga Tena, Amtetea Diamond, Roma – Video

MBUNGE wa Kawe (Chadema) Halima Mdee amesimama Bungeni na kuwatetea wasanii kutokana na sheria zilizowekwa na Baraza la Sanaa la...

READ MORE

EXCLUSIVE: BABA Diamond Afunguka Madai ya ‘Uchawi’ wa Mobeto – Video

  Baba wa Msanii wa Bondo Fleva Naseeb Abdul ‘Diamond’ Plantnumz amesema ishu ambayo inaendelea katika mitandao kuhusiana na mzazi...

READ MORE

Diamond Ajitangaza Kuwa ‘Single’

STAA wa Afro Pop ndani na nje ya Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz,  ameamua kuweka wazi maisha yake ya mahusiano...

READ MORE

Madai ya Uchawi: Esma Aanika Siri Nzito ya Mobeto

DADA wa staa wa Afro Pop ndani na nje ya Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma Khan amerusha bomu lingine...

READ MORE

MADAI YA UCHAWI, MOBETO KUMBURUZA DIAMOND KORTINI!

UMESHASIKIA msemo wa: “Usipofanya utafiti huna haki ya kuzungumza?” Ukiwa bado, maana yake jifunze kupeleleza vitu kabla ya kuviongea kwa...

READ MORE

Diamond Afunguka: Unataka Uniloge Mimi na Mama Yangu? – Vodeo

STAA wa muziki Bongo, Diamond Platnumz amejibu kuhusu voice note inayosambaa mtandaoni ambayo inadaiwa kuwa ni ya Hamisa Mobetto akipanga...

READ MORE

Muonekano Mpya wa Diamond kwa Sasa ni Huu

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul a.k.a Diamond Plutnumz ameibuka na mwonekano mpya wa nywele baada ya kusuka....

READ MORE

DIAMOND: Lavalava, Mbosso Wanatafuta Madansa – VIDEO

Kampuni ya Kubashiri ya Biko kwa kushirikiana na Kundi la WCB lililopo Chini ya Mbongo Fleva, Diamond Platnumz wamezindua rasmi...

READ MORE

Gigy Money Amporomoshea Matusi Zari; “Nikimtaka Diamond Nampata”

MSANII wa Bongo Fleva, Model, video vixen na mtangazaji wa radio, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amemshushua mitusi wakati akijibu maneno...

READ MORE

Diamond, Bob Junior Wamaliza Bifu Lao, Collabo Mpya Soon – Video

MKALI wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amekutana na aliyekuwa producer wake wa ngoma zake mbalimbali tangu kitambo hocho, Bob Junior...

READ MORE

DIAMOND AMLIZA MAMA MOBETO!

USHUHUDA alioutoa hivi karibuni mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuhusu maisha yake, umekuwa mwiba mkali kwa mama...

READ MORE

Video Mpya: JIBEBE -Wcb wasafi ft Diamond Platnumz & Mbosso & Lavalava

WAKALI wa muziki kutoka Lebo ya WCB, Diamond Platnumz, Lava Lava na Mbosso wameachia VIDEO yao ya ngoma ya pamoja...

READ MORE

Diamond, WCB Wamuombea Ommy Dimpoz kwa Mungu

STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameweka pembeni tofauti zilizokuwepo kati yake na Ommy Dimpoz katika wakati huu ambapo Dimpoz...

READ MORE

Kisa Video Yake na Diamond, Wema Awapa Makavu Akina…. – Video

MALKIA wa Bongo Movie, Wema Sepetu amewaponda wanaofuatilia maisha yake mara baada ya kupiga kipande cha video akiwa na X...

READ MORE

MWARABU: Kufukuzwa WCB, Diamond Alinipigia Simu – Video

ULE utata kuhusu Kufukuzwa kundini kwa Baunsa wa Mbongo Fleva, Diamond Platnumz, anayefahamika kwa jina la Mwarabu Fighter, unazidi kuchanganya...

READ MORE

DIAMOND, LAVALAVA, MBOSSO WALIVYOPIGA SHOO YA ‘JIBEBE’ – VIDEO

WASANII wa WCB wamefanya showa ya hatari katika siku ya kuzaliwa ya kaka yake na Diamond Plantinum Rom Jons iliyofanyika...

READ MORE

Diamond Alivyocheza KWANGWARU Bila HARMONIZE – Video

DIAMOND Plantinum ameachia show ya kufa mtu katika birthday ya Rom Jons iliyofanyika katika ukumbi wa Samaki Samaki Masaki jijini...

READ MORE

Rich Mavoko Akinukisha BASATA, Sakata Lake na WCB – Video

MSANII wa Bongo Fleva, Rich Mavoko amegeuka mbogo mbele ya waandishi wahabari baada ya kugoma kuzungumza kuhusu nini kinaendelea kwenye...

READ MORE

KWA DAWA HIZI, DIAMOND ‘HATARINI KUFA’!

DAR ES SALAAM: Kama ni kweli Staa wa Muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond’ anatumia vidonge vya kusisimua misuli...

READ MORE

Diamond, Mavoko Uso kwa Uso BASATA Leo – Video

MSANII wa Bongo Fleva, Rich Mavoko na uongozi wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Diamond Platnumz  na Sallam SK, wamekutana...

READ MORE

BETHIDEI YA TIFFAH KUBUMA, MAMA MONDI AZUA GUMZO!

  Siku chache baada ya bethidei ya mjukuu wake, Latifah Nasibu ‘Tiffah’ kubuma Afrika Kusini ‘Sauz’, mama wa staa wa...

READ MORE

MOBETO: KUOLEWA NA DIAMOND SAWA; ILA…

KWA wanamitindo wakali Bongo, Hamisa Mobeto ni moja kati ya warembo ambao wanafanya vizuri na kusumbua kwenye mitandao ya kijamii...

READ MORE

HUYU NDO ANGEL NYIGU, DANSA HATARI WA DIAMOND – VIDEO

Moja kati ya wadada wanaofanya vizuri kwa sasa kutokana na kipaji chake cha kucheza ni, Angel Nyigu, ambaye wengi wamemfahamu...

READ MORE

Diamond Kuongeza Mjengo Mwingine Sauzi

STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa ana mpngo wa kununua nyumba nyingine nchini Afrika Kusini. Muimbaji huyo...

READ MORE

ZARI AMFANYIA MONDI UMAFIA

NI umafia wa ajabu! Hakuna maneno mengine mazuri unayoweza kuyazungumza kusherehesha tukio la mwanamama wa Kiganda, Zarinah Hassan ‘Zari The...

READ MORE

WCB Waanika ya Rich Mavoko BASATA!

LEBO ys WCB imesema taarifa za Rich Mavoko kwenda kujisali Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) si sawa kwani tayari alikuwa...

READ MORE