Fahamu Maana na Historia Fupi ya Sensa ya Watu na Makazi
SENSA ni nini? Ofisi ya Takwimu ya Taifa(NBS) Sensa ya Watu na Makazi inaielezea sensa kuwa ni utaratibu wa kukuasanya, kuchambua,kutathmini,kuchapisha na kusambaza takwimu za kidemographia, kiuchumi na kijamii kuhusiana na watu wote na…
